Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
"Haiwezekani"..? ww kama nani nchi hii kupinga serikali ? kupinga teuzi za muheshimiwa rais? kwamba ww uko right kuliko hizo tume za vetting?I wish mazingira yangethibitisha hicho unachokisema, ila hii pattern inayojirudiarudia ya 20% by 80% rule inahitaji jicho kali la kiuchunguzi
Haiwezekani nchi hii vigezo fulani vinavyomandate teuzi kuwa vipatikane kwa wingi kwa watu wa dini moja tu kuliko wengine.
Hapa huenda kuna mchezo mchafu kwenye timu nzima ya vetting
"Kuna mchezo mchafu tunachezewa"
Kumbe tayari una majibu yako kichwani tayari.
Uzuri mmoja sheria za nchi ziko wazi. ajira ziko wazi. qualifications huwa zinawekwa wazi.
Kama huna vigezo huna,kama unavyo unavyo tu.
Dini haikupi kazi baba.