Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serkali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serkali na mengine wakipinga uchaguzj huo kutokana na rafu za CCM
mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serkali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi
Chifyono
Naona tayari wenyewe mshaanza kunyukana hapahapa...Kuna tofauti kubwa baina ya viongozi/Taasisi za kidini kati ya Kiislam na Kikristo matamko yao hupokelewa tofauti na serikali. Upande wa Kikristo matamko yao hata yakipingana na serikali huwezi kuona serikali ikitumia nguvu kubwa.
Tofauti na upande wa Kiislam! Serikali hutumia nguvu kubwa sana. Tamko tu huwapeleka viongozi wa kiroho wa Kiislam gerezani. Na kwa asilimia kubwa jamii huwa inawabeza kwa matamko wanayoyatoa.
Mbali na hilo Waislam huambiwa hawajasoma! Hawana elimu. Kadiria tamko lililotolewa na huyo kiongozi wa kiroho wa Katoliki lingelitolewa na kiongozi wa kiroho wa Kiislam hali ingelikuwaje? Waislam wangelitukanwa humu (Jf) na kinyesi cha kila namna wangepakwa.
Waislam walichogundua nchi ina wenyewe! Hawataki kujiingiza kwenye mikwaruzano ya namna hiyo wala hawataki makuu. Wapo kimya na kama wakiomba kitu kutoka serikalini wanaomba nyumba za ibada au maeneo ya kujengea vituo vya ibada.
Ni msukumo wako tu! Kwenye Uislam tofauti ya rai inaruhusiwa. Kwa sababu akili ndivyo zilivyo! Kinachokataliwa ni vurugu kisa kutofautiana kwa fikra! Kwa sababu ni ujinga. Mtu na mkewe hutofautiana kwa rai kwenye baadhi ya mambo lakini bado wanaishi pamoja na kupendena.Naona tayari wenyewe mshaanza kunyukana hapahapa...
Ni jambo zuri, na ni muhimu kufahamu hivyo! Lakini uhakika wa mambo ni tofauti na jinsi ulivyo.mkuu hii ni nchi yetu sote, catholic na uislamu ndio dominant katika nchi hii na hupewa uzito sawa
hivyo kwa namna yoyote ile kauli ya waislamu na viongozi wao ni muhimu kwa sasa hapa nchini
mkuu hii ni nchi yetu sote, catholic na uislamu ndio dominant katika nchi hii na hupewa uzito sawa
hivyo kwa namna yoyote ile kauli ya waislamu na viongozi wao ni muhimu kwa sasa hapa nchini
Sheikh Ponda kahojiwa yeye kama Sheikh ijapokuwa ana dhamana kubwa kwenye Taasisi anayoiwakilisha kwa niaba ya Waislam. Lakini interview ilikuwa inamhusu yeye binafsi. Alichozungumza ni maoni yake yeye kama raia wa nchi hii. Alichokizungumza si kauli ya Taasisi.Umeipata jana? Au hujaridhika na uamuzi wa shee?
Makanisa yamewa suprise mpaka mmechanganyikiwa mnataka huruma ya bakwataBAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Sijui kama wame kuelewa jana Makonda ameiva kuwa baklava tumewajenge msaliti mkubwa sana halafu muwe kinyume na ccmWote walamba miguu. Mjengewe misikiti afu mpingane na waliojenga
Makanisa au Pengo na genge lake?Makanisa yamewa suprise mpaka mmechanganyikiwa mnataka huruma ya bakwata
Huwa naamini nchi hii haina wapinzani makini
Walikurupuka kugoma,hawakuwa na plan B,serikali ikachomoa dakika za mwisho,nguvu ikabaki kwenye makundi,moja ya kanisa lenye nguvu limechomoa!
Liliobaki ni kushika jembe na kulima tu
Mdudu gani?msaliti