- Thread starter
- #41
kajifunze kuandika kwanza then urudi tenaUMEAMBIWA UCHAGUZI WA MTAA TUNACHAGUA MASHEHE WA.MIKOA.EMBU HESHIMUNI PLS SERKL
ALLA!!
siku hizi Jf imebeba tu hata vilaza na wenye miandiko ya ovyo
kajifunze kuandika kwanza then urudi tenaUMEAMBIWA UCHAGUZI WA MTAA TUNACHAGUA MASHEHE WA.MIKOA.EMBU HESHIMUNI PLS SERKL
ALLA!!
Jisikilizie...BAKWATA si ya kwenu?
ilianzishwa na Nyerere? lini? Nyerere na u-bakwata wapi na wapi
Kuna tofauti kubwa baina ya viongozi/Taasisi za kidini kati ya Kiislam na Kikristo matamko yao hupokelewa tofauti na serikali. Upande wa Kikristo matamko yao hata yakipingana na serikali huwezi kuona serikali ikitumia nguvu kubwa.
Tofauti na upande wa Kiislam! Serikali hutumia nguvu kubwa sana. Tamko tu huwapeleka viongozi wa kiroho wa Kiislam gerezani. Na kwa asilimia kubwa jamii huwa inawabeza kwa matamko wanayoyatoa.
Mbali na hilo Waislam huambiwa hawajasoma! Hawana elimu. Kadiria tamko lililotolewa na huyo kiongozi wa kiroho wa Katoliki lingelitolewa na kiongozi wa kiroho wa Kiislam hali ingelikuwaje? Waislam wangelitukanwa humu (Jf) na kinyesi cha kila namna wangepakwa.
Waislam walichogundua nchi ina wenyewe! Hawataki kujiingiza kwenye mikwaruzano ya namna hiyo wala hawataki makuu. Wapo kimya na kama wakiomba kitu kutoka serikalini wanaomba nyumba za ibada au maeneo ya kujengea vituo vya ibada.
Ni msukumo wako tu! Kwenye Uislam tofauti ya rai inaruhusiwa. Kwa sababu akili ndivyo zilivyo! Kinachokataliwa ni vurugu kisa kutofautiana kwa fikra! Kwa sababu ni ujinga. Mtu na mkewe hutofautiana kwa rai kwenye baadhi ya mambo lakini bado wanaishi pamoja na kupendena.
Ufahamu hivyo! Na usikuze mambo.
Oooh sasa hii ni balaa, mnataka ujenzi wa makao makuu ya Bakwata usitishwe! Nani mwingine atagharamia.Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono
mkuu kwani msimamo na kauli inahusiano upi na ujenzi but haijulikani bado kama msimamo wao ni upiOooh sasa hii ni balaa, mnataka ujenzi wa makao makuu ya Bakwata usitishwe! Nani mwingine atagharamia.
Jisikilizie...
Ujinga ni pale unapopewa ilm unaipuuza.siwezi poteza bando langu kuangalia ujinga!
ilm ndio madudu gani?Ujinga ni pale unapopewa ilm unaipuuza.
Kwa maana hiyo huna ulijualo kuhusu bakwata.
Si taasisi yetu hiyo. Hiyo ni yaasisi ya serikali na kanisa iloyoanzishwa na marehemu mzee Nyerere.
Unafikiri kwanini Nyerere anataka kupewa utakatifu?
Nakuzimikia sana faiza foxyUjinga ni pale unapopewa ilm unaipuuza.
Kwa maana hiyo huna ulijualo kuhusu bakwata.
Nakuzimikia sana faiza foxy
Endelea kunisoma tu, kuna siku yatakuingia.mkuu huyo kikongwe hana lolote la kukupa!
piga chini
Utakatifu anataka kupewa nani?Nyerere anataka? Ni lini alikwambia anataka?
aliyesoma sana BAKWATA aliishia la saba mambo ya uchaguzi wanayajulia wapi?Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono