Si mlisema pengo hana tena madaraka kateuliwa Ruwaichi au sio wewe?Makanisa au Pengo na genge lake?
Si mlisema pengo hana tena madaraka kateuliwa Ruwaichi au sio wewe?Makanisa au Pengo na genge lake?
Makanisa yamewa suprise mpaka mmechanganyikiwa mnataka huruma ya bakwata
Huwa naamini nchi hii haina wapinzani makini
Walikurupuka kugoma,hawakuwa na plan B,serikali ikachomoa dakika za mwisho,nguvu ikabaki kwenye makundi,moja ya kanisa lenye nguvu limechomoa!
Liliobaki ni kushika jembe na kulima tu
Kumbe nini,kibanda cha kinyamkela?Toka lini Pengo akawa kanisa?
Hivyo hivyoKumbe nini,kibanda cha kinyamkela?
Uhuru haukuletwa na bakwata umeletwa na waislamu,kuna tofauti kubwa kati ya bakwata na waislamuBAKWATA walisha pambana wakawaletea Uhuru inatosha hayo mengine ni mambo mado madogo tu na nyinyi upande wa pili pambaneni
Bakwata na Kanisa Katoliki haviwezi kutofautiana msimamo hata siku moja. Chukulia tamko la Maaskofu ndiyo la bakwata. Hawana tofauti hao.Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono
Bakwata na Kanisa Katoliki haviwezi kutofautiana msimamo hata siku moja. Chukulia tamko la Maaskofu ndiyo la bakwata. Hawana tofauti hao.
Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono
Katoliki na waislamu wanapewa uzito sawa?!Mkuu hii ni nchi yetu sote, catholic na uislamu ndio dominant katika nchi hii na hupewa uzito sawa
hivyo kwa namna yoyote ile kauli ya waislamu na viongozi wao ni muhimu kwa sasa hapa nchini
Huwezi kutenganisha dini na siasa! Jambo dogo tu jiulize, iweje rais wa nchi anayechaguliwa kwa njia ya siasa akiapa anashika kitabu cha dini yake?Dini na siasa wapi na wapi Ni kwanini msiwe kama wale Wasabato kwao Dini na siasa ni kama maji na mafuta.
Tangu haya maseke seke ya siasa yaanze sijawahi kusikia viongozi wa kisabato wakijihusisha na kutoa matamko maana wanajua misingi ya Dini yao na siasa haviendani.
Si taasisi yetu hiyo. Hiyo ni yaasisi ya serikali na kanisa iloyoanzishwa na marehemu mzee Nyerere.leo umekubali mwenyewe na hii inaonesha wazi taasisi yenu ni ndogo imemezwa na wakristu
hii nchi dini yake ni ukristu, misimamo ya kanisa ndio misimamo ya nchi
BAKWATA ni tawi la CCM, sasa unaulizia NZI CHOONI.Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono
katoliki wanaanza wanafuata waislamuKatoliki na waislamu wanapewa uzito sawa?!
UMEAMBIWA UCHAGUZI WA MTAA TUNACHAGUA MASHEHE WA.MIKOA.EMBU HESHIMUNI PLS SERKLBaada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo wao kuungana na serkali na kuhamasisha waumini wao washiriki uchaguzi.
Pia sisi waislamu tunaomba tujue, msimamo wa masheikh wetu ni upi kuhusiana na uchaguzi huu, je wanaunga juhudi za mkulu na serikali yake?
BAKWATA na mashehe wote tunaomba mtutangazie tujue na sisi.
Chifyono
Si taasisi yetu hiyo. Hiyo ni yaasisi ya serikali na kanisa iloyoanzishwa na marehemu mzee Nyerere.
Unafikiri kwanini Nyerere anataka kupewa utakatifu?