Tunahitaji msimamo na kauli ya BAKWATA uchaguzi Serikali za Mitaa

Toka lini Pengo akawa kanisa?
 
surah al munafiqun ayat 9-11
Masheikh wengi na wanafiki wengine hizo aya zinawahusu
Wajitafakari Mwenyezi Mungu hadhihakiwi...
Huyo shehena wa Dar si ndio alijipa uungu kwamba mange atadedi hamalizi mwaka haikuwa na bado kuna majuha wanamuamini!!!
 
BAKWATA walisha pambana wakawaletea Uhuru inatosha hayo mengine ni mambo mado madogo tu na nyinyi upande wa pili pambaneni
Uhuru haukuletwa na bakwata umeletwa na waislamu,kuna tofauti kubwa kati ya bakwata na waislamu
 
Bakwata na Kanisa Katoliki haviwezi kutofautiana msimamo hata siku moja. Chukulia tamko la Maaskofu ndiyo la bakwata. Hawana tofauti hao.
 
leo umekubali mwenyewe na hii inaonesha wazi taasisi yenu ni ndogo imemezwa na wakristu

hii nchi dini yake ni ukristu, misimamo ya kanisa ndio misimamo ya nchi
Bakwata na Kanisa Katoliki haviwezi kutofautiana msimamo hata siku moja. Chukulia tamko la Maaskofu ndiyo la bakwata. Hawana tofauti hao.
 
Mkuu una moyo mgumu sana yaani unatarajia jambo la maana kutoka Bakwata?
 
Mkuu hii ni nchi yetu sote, catholic na uislamu ndio dominant katika nchi hii na hupewa uzito sawa

hivyo kwa namna yoyote ile kauli ya waislamu na viongozi wao ni muhimu kwa sasa hapa nchini
Katoliki na waislamu wanapewa uzito sawa?!
 
Huwezi kutenganisha dini na siasa! Jambo dogo tu jiulize, iweje rais wa nchi anayechaguliwa kwa njia ya siasa akiapa anashika kitabu cha dini yake?

Kwa nini viongozi wa kisiasa huwa wanawaomba viongozi wa kidini wawaombee?
 
leo umekubali mwenyewe na hii inaonesha wazi taasisi yenu ni ndogo imemezwa na wakristu

hii nchi dini yake ni ukristu, misimamo ya kanisa ndio misimamo ya nchi
Si taasisi yetu hiyo. Hiyo ni yaasisi ya serikali na kanisa iloyoanzishwa na marehemu mzee Nyerere.

Unafikiri kwanini Nyerere anataka kupewa utakatifu?
 
BAKWATA ni tawi la CCM, sasa unaulizia NZI CHOONI.
 
Ila inaonyesha kuwa Shehe mkuu wa Dar na mkuu wa mkoa Makonda ni marafiki sana "wa damu" kiasi kuwa atakacho Makonda ndicho atakacho shehe. Hivyo msimamo ushajulikana tayari.
 
UMEAMBIWA UCHAGUZI WA MTAA TUNACHAGUA MASHEHE WA.MIKOA.EMBU HESHIMUNI PLS SERKL
ALLA!!
 
BAKWATA si ya kwenu?
ilianzishwa na Nyerere? lini? Nyerere na u-bakwata wapi na wapi
Si taasisi yetu hiyo. Hiyo ni yaasisi ya serikali na kanisa iloyoanzishwa na marehemu mzee Nyerere.

Unafikiri kwanini Nyerere anataka kupewa utakatifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…