Tunahitaji msimamo na kauli ya BAKWATA uchaguzi Serikali za Mitaa

UMEAMBIWA UCHAGUZI WA MTAA TUNACHAGUA MASHEHE WA.MIKOA.EMBU HESHIMUNI PLS SERKL
ALLA!!
kajifunze kuandika kwanza then urudi tena

siku hizi Jf imebeba tu hata vilaza na wenye miandiko ya ovyo
 
Masheikh nao wana familia zao hakuna mwenye kutaka familia yake ipate tabu kama wanazopitia zile familia za masheikh wa uamsho hasa katika utawala huu ndio kabisa.
 
Swadakta!
 
Swadakta!
 
Oooh sasa hii ni balaa, mnataka ujenzi wa makao makuu ya Bakwata usitishwe! Nani mwingine atagharamia.
 
Oooh sasa hii ni balaa, mnataka ujenzi wa makao makuu ya Bakwata usitishwe! Nani mwingine atagharamia.
mkuu kwani msimamo na kauli inahusiano upi na ujenzi but haijulikani bado kama msimamo wao ni upi
 
Kadinali anajua mavuno jimbo yameshuka sana sijui kwanini akusema mambo mabaya
 
aliyesoma sana BAKWATA aliishia la saba mambo ya uchaguzi wanayajulia wapi?
BAKWATA haipo pale kuwatetea waamini ni tawi la chama cha mapinduzi ulishawahi wasikia wakiwatetea wale WAuamsho?
ukienda nyumbani kwa shwikhe mkuu hata mkata majani anavaa TSHIRT ZA CCM
 
Bakwata ni chombo cha romancatholic ila bakwata kimevaa vilemba na kanzu kuficha jambo. lolote litakalosemwa na kanisa ndio limesemwa na bakwata. Watu hufikiri bakwata ni chombo cha waislamu sio kweli wapo kwa kutangaza mwezi kufunga au kufungua kwa kutumwa na serikali na kazi zao zingine nikuuza tende za sadaka zinapokuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…