Tunahitaji msimamo na kauli ya BAKWATA uchaguzi Serikali za Mitaa

MSIMAMO WA WAISLAM KISHAUTOA SHEIKH PONDA.
 

Attachments

  • videoplayback (20).mp4
    27.9 MB
Mkuu hii ni nchi yetu sote, catholic na uislamu ndio dominant katika nchi hii na hupewa uzito sawa

hivyo kwa namna yoyote ile kauli ya waislamu na viongozi wao ni muhimu kwa sasa hapa nchini
Muislam mimi sina imani na BAKWATA kwa hiyo wakitamka wasipotamka juu ya kadhia hiyo hawana ushawishi wowote kwangu
 
Muislam mimi sina imani na BAKWATA kwa hiyo wakitamka wasipotamka juu ya kadhia hiyo hawana ushawishi wowote kwangu
ila ndio inawaongoza hivyo kama hakuna imani ni vema ibadilishwe uongozi wake

lakini pia huu uozo mnauona mnashindwa kubadili kila kitu katika jambo dogo tu hili, haya mabadiliko ya katiba mtaweza kweli maana watawala hawataki haya mapambano mtaweza kama bakwata tu ni shida
 
Uozo wa kanisa, tena takriban dunia nzima, mbona mnaufumbia macho?
 
Uozo wa kanisa, tena takriban dunia nzima, mbona mnaufumbia macho?
nani kakuambia ni mkatoliki?

yaani niongozwe na waliounga mkono juhudi kandamizi?
kanisa kuwa na uozo sio kigezo cha Bakwata na uislamu kuwa na uozo, you have to change!
 
nani kakuambia ni mkatoliki?

yaani niongozwe na waliounga mkono juhudi kandamizi?
kanisa kuwa na uozo sio kigezo cha Bakwata na uislamu kuwa na uozo, you have to change!

Kanisome tena. Nani kaandika "mkatoliki"?

Nimeandika kanisa. Nafahamu uozo uliopo kanisani si lazima uwe/liwe katoliki.
 
Kanisome tena. Nani kaandika "mkatoliki"?

Nimeandika kanisa. Nafahamu uozo uliopo kanisani si lazima uwe katoliki.
huu uzi unahusu mapadri waliotoa kauli kuunga juhudi,,, hakuna kanisa lenye mapadri zaidi ya katoliki.
 
huu uzi unahusu mapadri waliotoa kauli kuunga juhudi,,, hakuna kanisa lenye mapadri zaidi ya katoliki.
Hakuna kanisa duniani lisilo na uozo wa kimaadili. Ona hii...

Hawa wakatoliki?

 
Hakuna kanisa duniani lisilo na uozo wa kimaadili. Ona hii...

Hawa wakatoliki?

mkuu pambana na uislamu wako kwanza
ukiruhusu maovu yatendeke kwa sababu ya uozo wa kanisa hii ni udhaifu, mjirekebishe na mjitambue
 
mkuu pambana na uislamu wako kwanza
ukiruhusu maovu yatendeke kwa sababu ya uozo wa kanisa hii ni udhaifu, mjirekebishe na mjitambue
Uislam sio wangu. Uislam ni kwa walimwengu wote. Achana na laana za kanisani.
 
Uislam sio wangu. Uislam ni kwa walimwengu wote. Achana na laana za kanisani.
asante kwa kukili kuwa wewe si muislam

karibu ibadani siku ya jumapili, KKKT usharika wa Mbezi Luguruni na Mungu atakubariki
 
asante kwa kukili kuwa wewe si muislam

karibu ibadani siku ya jumapili, KKKT usharika wa Mbezi Luguruni na Mungu atakubariki
Unazidi kujidhihirisha ujinga ulio nao, maana hata unachokisoma hukielewi.

Ona michungaji mishoga ya kilutheri hii. Hamuoni haya?...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…