Hhaha ila we jamaa sio MhayaZamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life"
Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko.
Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio kimebadirishwa.
Sasa hivi waliofanikiwa zaidi sio waliosoma sana, bali wenye kujua njia za kupita au wenye kuwa na connection.
Tanzania One anazidiwa Maisha na Anko T..... Mwenye Elimu na aliyekuwa anakimbiza darasani kaajiriwa na mchora katuni au muimbaji.
Sanaa zamani ndio ilikuwa inaonekana ni ya vilaza au wasikuwa na Akili, lakini sasa hivi hapa bongo wenye Maisha ni wafanya sanaa. Darasani unakomaa na Hesabu unakuwa kipanga alafu kuna mwana yeye anakomaa na content creation badae wewe mkali wa hesabu unaishia kuwa mwalimu wa Mathematics pale Kazuramimba kigoma huku content creator akikaa mjini na kula Maisha mazuri.
Steve Mweusi na utahira wake kawazidi wasomi wengi maisha
HahahaMtoa mada hapo ulipomueka uncle T kama mfano nimepata mashaka na wewe!!
Kweli upo tayari kuweka reyani kinyeo mkuu ili upate hela?
Lipia tangazo mkuu,hapo hili tangazo limekaa kimkakati sana aisee!!!..
Wazee wa kuona nje ya boxWatu siku hizi wamepata ufunguo mpya wa maisha ambao ni 'kuuza qinyeo'.
Wauzaji wenyewe wanakuambia 'kufungua jicho la tatu'.
ELI COHEN
Haijalishi utapewa funguo nyingine ngapi, kama sio za mlango sahihi hautoweza kufungua.Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life"
Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko.
Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio kimebadirishwa.
Sasa hivi waliofanikiwa zaidi sio waliosoma sana, bali wenye kujua njia za kupita au wenye kuwa na connection.
Tanzania One anazidiwa Maisha na Anko T..... Mwenye Elimu na aliyekuwa anakimbiza darasani kaajiriwa na mchora katuni au muimbaji.
Sanaa zamani ndio ilikuwa inaonekana ni ya vilaza au wasikuwa na Akili, lakini sasa hivi hapa bongo wenye Maisha ni wafanya sanaa. Darasani unakomaa na Hesabu unakuwa kipanga alafu kuna mwana yeye anakomaa na content creation badae wewe mkali wa hesabu unaishia kuwa mwalimu wa Mathematics pale Kazuramimba kigoma huku content creator akikaa mjini na kula Maisha mazuri.
Steve Mweusi na utahira wake kawazidi wasomi wengi maisha
Ndo maana yake.Wazee wa kuona nje ya box