Tunahitaji Ufunguo mwingine wa Mafaniko, Elimu haifanyi kazi tena

Hhaha ila we jamaa sio Mhaya
 
Haijalishi utapewa funguo nyingine ngapi, kama sio za mlango sahihi hautoweza kufungua.

Jua kwanza mlango wako ndo uje kuomba funguo
 
Elimu ni ufunguo, hata hivyo tusitegemee aina ile ya siku zote.

Elimu tunayohitaji ni

1. Namna ya kuongeza thamani (juu ya ujuzi/bidhaa)
Hapa sasa, utakuta hawa wenye fursa hii elimu wako nayo (mf: content creator kajifunza kuedit video, kucheza na algorithm, etc)
2. Jinsi ya kujimarket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…