Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na ikiwakana wanafunzi wake. Leo hii tangu asubuhi Kuna kikao chuoni hapo kinaendelea dhidi ya manyanyaso ya Askari hao.

Rai yetu ni kwamba, kwakua RC na Mganilwa (Mkuu wa Chuo) wote ni Wana CCM washurutishwe wasije wakaficha matokeo ya Kikao hiki vinginevyo Kuna siku Wale Walinzi watauliwa na wanafunzi au vice versa na TUTAKOSA Cha kusema.

Alamsiki
Wapasuliwe vichwa hao walinzi mandezi sana hai vyura wa JKT, wanafunzi akachukue vyuma vya kule relini kigeti kile cha kwenda maziwa Au wamalize mmoja wamtupe TGNP malofa hao.
 
SUMA viande tu hao ni kuwapa kisago cha ki PGO kabisa yani unawalambisha mchanga vizuri tu!

Tatizo wanafunzi wamekuwa na tabia za nyumbu sikuhizi...Mfano halisi wa kizazi tulichopo sasa na ndio maana hata kiongozi ana uwezo wa kutangaza watu wajipimie maana anajua hamna wa ku resist.
 
Hakika, umeiweka vizuri sana
 
Mwanamke kuvaa nguo fupi sio maana she is asking for a sex,lini nchi hii itaacha manyanyaso haya ya kijinsia?nanyi wanafunzi mmezidi uoga,sometimes haki inakuja kwa jasho la damu,pale Mkwawa cne tulipataga principal aliyekuja na sheria za ajabu na akaamua kutugeuza sisi wanafunzi wakati ni waalimu watarajiwa,we pushed back na he kicked the bucket!na salute kwa wanachuo wote waliofukuzwa kwa kupigania haki,(ni principal aliyekuja kuchukua nafasi ya S.A.Mshana,huyu alikua very humble na SMART man).
 
Back
Top Bottom