Tunailaumu mwendokasi lakini na hili pia ni tatizo

Nchi inapokosa Strong leadership basi kila mtu hugeuka kuwa mjuaji na mbabe, ni maajabu watu wazima kukosa ustaarabu mpaka kuharibu miundombinu inayowasaidia wenyewe.
 
Magari yana Park mda mrefu vituo vya mwisho hakuna mameneja wa kusimamia madereva.Mifumo ya madaladala ndiyo wamecopy maderea wa mwendo kasi.
 
Wabongo wako kama mangongeee wanaswagwa 😄

Ova
 
Kisheria tunaita 'burden shifting'; yaani unashindwa kubeba lawama zako na hatimaye unamtafuta wa kumtwisha zigo.

Sasa kwa mazingira yeyote, unamlaumuje abiria ambaye kimsingi ndiye mteja?

Biashara inayokufa kwa kuzidiwa na wateja, nalo ni ajabu la 8 la Dunia.
 
Shida hata abiria wakisema wasubiri gari lingine nalo litafika limefurika
Especially wale wanaopandia vituo vya njiani
 
Magari yana Park mda mrefu vituo vya mwisho hakuna mameneja wa kusimamia madereva.Mifumo ya madaladala ndiyo wamecopy maderea wa mwendo kasi.
Yanayofanya kazi ni machache na ndio hayo yanayowahi kuchoka maana yanajaza hadi basi huku mengine yamekaa tu kutokana na uboss wa baadhi ya madereva
 
Hapo Dar watu wa kimara ,Mbagala ,na Gongo la mboto hawana ustaarabu kabisa ...Mabasi hayo wanajaa na ule mlango wa kufunga automatically ni tatizo ,kama abiria hawajionei huruma basi acha wabanwe ...Watu hata wakae foleni ila ikifika muda wa kuingia kama mambwa bila ya ustaarabu...Unaona watu wazima ila kupenda kuminyana.

Kiufupi abiria kwa 80% wanaharibu hayo mabasi kwa kukosa ustaarab; kuvunja accessories zake na kuongeza mzigo bila ya kuzingatia uwezo wa hayo magari.
 
Wa kulaumiwa na manajiment ya mwendokasi haufai kabisa hata kidogo.magari ni machache na hayafiki Kwa wakati unataka mtu asijazane ?kingekuwa na ma asi mengi na yanafika Kwa wakati kusingekuwa na huo mbanano
 
 
Naunga mkono hoja
 
Magari machzche +watz wako kama mangombe

Ova
 

[Copy&Paste (C&P)]

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings"

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Shida hata abiria wakisema wasubiri gari lingine nalo litafika limefurika
Especially wale wanaopandia vituo vya njiani
Inshu ni kuwa huku mnagombania gari moja kuna magari kibao yapo parking yamekaa tu wala hayana shida yoyote ni madereva tu wameamua kupumzika
 
Inshu ni kuwa huku mnagombania gari moja kuna magari kibao yapo parking yamekaa tu wala hayana shida yoyote ni madereva tu wameamua kupumzika
Sometimes nadhani madereva wanasubiri go ahead
Si Kuna anayewapangia route.

Ila all in all mwendokasi ni kichefuchefu
Uwe na roho ngumu sana kuweza kuendana na ujinga wao aisee,wanakera sana.
 
Magari machzche +watz wako kama mangombe

Ova
Hatuna ustaarabu ,palw kivukoni wale walinzi ,siku moja walikuwa wanapanga watu katika utaratibu maana ilikuwa jioni ,siku ya jumapili.

Sasa watu ni kama wanatumia nguvu ili kuharibu utaratibu,huyo askari ni mfupi yaani wanamdharau sana ..Yule askari alikuwa anauliza kuna mama mjamzito ,mzee ,au watoto ili watangulie .

Raia wanavuruga utaratibu mpaka hasira ..Hata kama machache ila utaratibu ni muhimu ,siku wakipigwa na walinzi ..Mnajifanya mnajua sana haki zenu ,wanasiasa uchwara wataanza kuleta ujuaji ..

Tufuatw taratibu ili kuleta urahisi wa kazi.
 
Watu wangejipanga kwa foleni wote wangeingiaa ila wabongo wanapenda kusukumizana
Kuwahi siti aise

Ova
 
Kusubiri lingine ni dakika 30 hadi 45 hapo utawaonea bure tu dereva pamoja na abiria. Suluhisho ni weka gari za kutosha barabarani uone kama kuna mtu atang’ang’ania kuingia gari likiwa limejaa. Madereva nao wameishakata tamaa hauwezi ku control nyomi ile ya watu, watu wameshavurugwa wanaweza kukutembezea kichapo, nimeshuhudia mara 2 madereva wakila mkong’oto kutoka kwa abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…