Tunailaumu mwendokasi lakini na hili pia ni tatizo

Siku mtapomtambua wa kumnyooshea vidole kwa haya yabaoendelea ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wa matatizo.

Hicho kinachotokea kinaitwa kila mtu ataiponya nafsi yake. Kulaumu matokeo badala ya mzizi wa chanzo kunafanya hao viongozi wazidi kubweteka na naamini wanafurahi wakisoma nyuzi kama hizi.
 
Tatizo ni madereva ni mabwenyenye sana akipaki gari hapo anaenda lodge akirudi ndio aangalie route magari mengi yapo tu yamepaki na wala hayana tatizo lolote na madereva nao wanachangia wamezidi uboss
Umewahi kuuliza sababu ya kuzipaki zile gari baada ya route kadhaa?
 
Kisheria tunaita 'burden shifting'; yaani unashindwa kubeba lawama zako na hatimaye unamtafuta wa kumtwisha zigo.

Sasa kwa mazingira yeyote, unamlaumuje abiria ambaye kimsingi ndiye mteja?

Biashara inayokufa kwa kuzidiwa na wateja, nalo ni ajabu la 8 la Dunia.
Hiki kitu nawaambiaga watu kila siku. Hata timu inapofanya vibaya hawajibishwi mchezaji ila kocha na viongozi wake.

Kukaa hapa kuwalaumu abiria ambao kimsingi ni waathirika wa matokeo ya uongozi mbovu ni ufinyu wa kufikiri. No Offence.
 
Hapo Dar watu wa kimara ,Mbagala ,na Gongo la mboto hawana ustaarabu kabisa ...Mabasi hayo wanajaa na ule mlango wa kufunga automatically ni tatizo ,kama abiria hawajionei huruma basi acha wabanwe ...Watu hata wakae foleni ila ikifika muda wa kuingia kama mambwa bila ya ustaarabu...Unaona watu wazima ila kupenda kuminyana.

Kiufupi abiria kwa 80% wanaharibu hayo mabasi kwa kukosa ustaarab; kuvunja accessories zake na kuongeza mzigo bila ya kuzingatia uwezo wa hayo magari.
Ukiambiwa uje na suluhisho la kudumu, kuna part utataja abiria wasijae?
 
Kusubiri lingine ni dakika 30 hadi 45 hapo utawaonea bure tu dereva pamoja na abiria. Suluhisho ni weka gari za kutosha barabarani uone kama kuna mtu atang’ang’ania kuingia gari likiwa limejaa. Madereva nao wameishakata tamaa hauwezi ku control nyomi ile ya watu, watu wameshavurugwa wanaweza kukutembezea kichapo, nimeshuhudia mara 2 madereva wakila mkong’oto kutoka kwa abiria
Bila ustaarabu hata zikiwepo 1000 zitaharibiwa kwa dk0 na shida itakuwa pale pale Yale magari yalikuwa mengi lakini wameyang'oa milango kwa kugombania kuingia

Kuna msemo unasema kitunze kidumu huu haufanyi kazi katika nchi zetu za ulimwengu wa 3
 
Hiki kitu nawaambiaga watu kila siku. Hata timu inapofanya vibaya hawajibishwi mchezaji ila kocha na viongozi wake.

Kukaa hapa kuwalaumu abiria ambao kimsingi ni waathirika wa matokeo ya uongozi mbovu ni ufinyu wa kufikiri. No Offence.
Hata kama unalipia huduma sio kibali cha kuharibu miundo mbinu viongozi wafanye kazi yao lkn pia raia wawe wastaarabu
 
Siku mtapomtambua wa kumnyooshea vidole kwa haya yabaoendelea ndio itakuwa mwanzo wa mwisho wa matatizo.

Hicho kinachotokea kinaitwa kila mtu ataiponya nafsi yake. Kulaumu matokeo badala ya mzizi wa chanzo kunafanya hao viongozi wazidi kubweteka na naamini wanafurahi wakisoma nyuzi kama hizi.
Tunachokisema viongozi wafanye kazi yao ila pia raia wawe wastaarabu hatujamtetea mtu hapo
 
Usha wahi kupanda mwendo kasi kweli..? Hao watu huwa wana panga kabisa abiria na wanasimamisha gari hata likiwa limejaa wanafungua milango abiria waingie. Na madereva tutawalaumu tu inaonekana ni maagizo kutoka juu mkuu. Zile gari zinajaza mpaka kama una afya ya mgogoro pole yako
Poleni watu wa Dar.
Sidhani kama wananchi wanapenda kubanana, wanalazimika tu.

Miaka tisa ya mwendokasi hizi changamoto hazikutakiwa kuwepo, tatizo lipo kwenye management na serikali.
 
Huo ndio ukweli serikali imefeli na ni dhahiri hakuna kitu CCM watasimamia na kikawin
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mamlaka inabidi zihojiwe imekuaje mpaka imekua hivi --- walikua na mkakati gani
 
Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA

Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu kabisa katika utumiaji wa vyombo hivi vya usafiri. Mtu unaona gari limejaa mpaka mlango haufunguki badala ya kusubiri lingine unalazimisha kuingia hadi milango inang'oka na vile hamna konda wanajibana watakavyo

Madereva walioajiriwa sio wastaarabu kabisa katika uendeshaji wa haya magari, hawajali muda kwanza wao ndio maboss abiria kwao ni kama ombaomba.

Gari linapelekwa kama halina mwenyewe dereva hata aone gari imejaa hafanyi jitihada yoyote kuhamasisha watu wasubiri lingine kwani yeye ndio dereva pia ndio konakta lakini pia kuna migambo kwenye vituo vya mwendokasi kwanini wasifanye kazi kusimamia ujazo wa magari haya kuliko kuyaover load mwisho wa siku yanawahi kuchakaa

Tutaendelea kuilaumu mwendokasi lakini bila ustaarabu na matumizi sahihi ya magari haya hamna kitakachofanyika kwanza watanzania tustaarabike katika kutumia vyombo vya umma

Ahsanteni
Watu wa kimara wachaga hao
 
Hapo Dar watu wa kimara ,Mbagala ,na Gongo la mboto hawana ustaarabu kabisa ...Mabasi hayo wanajaa na ule mlango wa kufunga automatically ni tatizo ,kama abiria hawajionei huruma basi acha wabanwe ...Watu hata wakae foleni ila ikifika muda wa kuingia kama mambwa bila ya ustaarabu...Unaona watu wazima ila kupenda kuminyana.

Kiufupi abiria kwa 80% wanaharibu hayo mabasi kwa kukosa ustaarab; kuvunja accessories zake na kuongeza mzigo bila ya kuzingatia uwezo wa hayo magari.
Unaijua dar ww gongo la mboto na mbagala kuna mabasi ya mw kasi au unahadithiwa
 
Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA

Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu kabisa katika utumiaji wa vyombo hivi vya usafiri. Mtu unaona gari limejaa mpaka mlango haufunguki badala ya kusubiri lingine unalazimisha kuingia hadi milango inang'oka na vile hamna konda wanajibana watakavyo

Madereva walioajiriwa sio wastaarabu kabisa katika uendeshaji wa haya magari, hawajali muda kwanza wao ndio maboss abiria kwao ni kama ombaomba.

Gari linapelekwa kama halina mwenyewe dereva hata aone gari imejaa hafanyi jitihada yoyote kuhamasisha watu wasubiri lingine kwani yeye ndio dereva pia ndio konakta lakini pia kuna migambo kwenye vituo vya mwendokasi kwanini wasifanye kazi kusimamia ujazo wa magari haya kuliko kuyaover load mwisho wa siku yanawahi kuchakaa

Tutaendelea kuilaumu mwendokasi lakini bila ustaarabu na matumizi sahihi ya magari haya hamna kitakachofanyika kwanza watanzania tustaarabike katika kutumia vyombo vya umma

Ahsanteni
Ni kweli mkuu nakubaliana na hoja yako ya msingi kabisa kuhusu matumizi sahihi ya mwendo kasi kwa watanzania ustaarabu haupo
 
Hili jambo watu hawalioni ila pia ni mzizi wa tatizo ila tukiyasema haya tunaonekana ni wanachama wa ccm
 
Sasa hapa kosa la nani, kama sio failure ya Management kuacha madereva wafanye watakavyo?
Yes! Management ni mbovu lakini pia asili ya watanzania kujisikia, uboss na kukosa ustaarabu kunaigharimu mwendokasi

Hao madereva sio wastaarabu kuanzia matumizi sahihi ya hayo magari, uboss na kujiona, raia nao kwa upande wao hata kama umelipa nauli ila kutumia chombo cha usafiri kwa ustaarabu pia niwajibu
 
Back
Top Bottom