Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea.
Alafu kuna hawa vijana ambao wanao wanajaa upepo wa siasa za majukwaa,expection zinakuwa kubwa sababu ya big picture ilijengwa kwenye taswira za kimagharibi hebu jaribuni kujiuliza before uhuru wazee wenu waliambiwa vipi after uhuru??
Dunia inataka fikra dhidi ya jela ya maisha yako na siyo wewe ujitie mbele mbele na kuwa fursa kwa wengine,tusijazane upepo wa ujinga wenu.
PAMBANA UFE NA CHAKO.