Tunajifunza nini kutokana na kitendo cha Raila Odinga kumpokea Rais Uhuru Kenyatta mjini Kisumu katika ziara ya kiserikali?

Hukuwa na nia ya sisi kujifunza kitu hapa
Lengo ilikuwa kuuelezea udhaifu wa mweshimiwa
.
.
Hata hivyo ngoja wajuvi waje.
Mimi lengo langu ni kutaka tujifunze kitu hapa kuwa kutofautiana kwa mawazo hakuwafanyi muwe maadui na badala yake kupokea "constructive critisism" kutafanya nchi isonge mbele kwa njia iliyo sahihi.
 
Siku ya kwanza alipolihutubia Bunge wapinzani wakiongozwa na Mbowe walimsusia Jiwe ungetegemea Jiwe angewapigia magoti.
 
Kenyatta hana lakufanya Jamaa ana nguvu sana itabidi ambembeleze vinginevyo anakinukisha imagine viongozi wakubwa wa mataifa ya nje wakienda Kenya lazima wakamsalimie Raila; Kenya ni kama ina Marais wawili
 
Siku ya kwanza alipolihutubia Bunge wapinzani wakiongozwa na Mbowe walimsusia Jiwe ungetegemea Jiwe angewapigia magoti.
Kwa hiyo jamaa ameona na yeye alipize kisasi kwa kumnyang'anya mike, mbunge John Heche wa Chadema,mbele ya wapiga kura wake, katika ziara yake hivi karibuni??

Hicho kitendo kilikuwa ni pure cha kishamba!
 
Ndiyo maana huwezi linganisha Kenya na Tanzania,, Kenya wametuzidi kielimu mpaka maendeleo,, sisi bado sana
 
Upinzani si uadui, mnaweza kuwa wapinzani lakini bado mnaweka mbele maslahi ya Nchi, kukaa meza moja, kujadiliana kustaarabu kutojenga chuki na uhasama wa hali ya juu hadi kufikia kutaka kutoana roho.
Karibu tena mkuu Mimi sijakuona kitambo sasa.
 
Siasa si uadui. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
If you can't beat them, join them.
Acha misemo ya kingese.

Yani upinzani ni kupigana?Katiba si ingesema kuwe na chama kimoja?

Bunge lililopitisha kuwa na vyama vingi si lilikuwa na wana CCM pekee?kwanini waliruhusu upinzani?

Watanzania mna IQ ndogo sana manina zenu,
 
Raisi ana chuki,watu wake wa Protocal hawaandai wala kualika mpinzani na akija anawekwa kwa wananchi wa kawaida wakativijikada vya chama vipo haitebo.

Na akianza hotuba yake ya ovyo anawashambulia kwa matusi,nani avumilie
 
Chama kilicho lrta uhuru kulikuwa siku nyingi Uhuru anawakilisha jubilee, muungano wa vyama
 
Hakuna kitu kirahisi duniani kama kutawala watanzania
 
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787]mahakama ya Tanzania ni muhimili unaojitegemea? Mahakama ipo hiyo? Iliyowafutia kesi askari waliyo status risasi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iyo ndyo siasa. Huku kwetu siasa imeingiliwa na mshirikina anayeamini katika visasi, mauwaji na utekaji.
 
Tumejifunza kwamba “penye udhia, penyeza rupia”. Hakuna Mpinzani yeyote mgumu pale ambapo maslahi yake binafsi (cheo, fedha, business opportunities) yanapopaliliwa na kuneemeshwa
 
Kuna siku moja Simba na Yanga wataungana na kuwa timu moja japokuwa sio maadui . Just thinking tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…