Tunajifunza nini kutokana na kitendo cha Raila Odinga kumpokea Rais Uhuru Kenyatta mjini Kisumu katika ziara ya kiserikali?

Kabisa Mkuu angalia walivyotaka kuchukua uhai wa Lissu, Ben Saanane mwaka wa tatu huu. Upinzani na hasa Chadema kila leo wanabambikiwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Mbowe na Matiko si ajabu Christmas na Mwaka mpya wakazilia lupango kutokana na chuki dhidi yao pamoja na kuwa hawana hatia yeyote huku aliyemuua Akwilina akiendelea kupeta uraiani.

Ishu hapa kwetu chama tawala ndio kinalazimisha kufanya upinzani uwe uadui
 
Haya yote wanayowafanyia upinzani m wisho wa siku ni yale yale yanayowatesa nchi jirani kama drc congo rwanda burundi na uganda kwa vikundi vya waasi
 
Reactions: BAK
Hii ndio taabu ya wanasiasa wanakufa maelfu halafu wakijinufaisha kisiasa wanawaacha solemba.
Very soon Jiwe atakaa na akina Mbowe just a matter of time.
 
Hii ndio taabu ya wanasiasa wanakufa maelfu halafu wakijinufaisha kisiasa wanawaacha solemba.
Very soon Jiwe atakaa na akina Mbowe just a matter of time.
Kwa Jiwe sidhani.....

Huyu mtu ni "exceptional"

Anapenda sana kuabudiwa na kuimbiwa nyimbo za mapambio ya kumsifu!

Anasahau kuwa ni Mungu pekee ndiye anastahili kusifiwa kwa aina hiyo, kwa kuwa ufalme wake na utukufu huwezi zilinganisha na mtu yeyote hapa duniani
 
Upinzani si uadui, mnaweza kuwa wapinzani lakini bado mnaweka mbele maslahi ya Nchi, kukaa meza moja, kujadiliana kistaarabu kutojenga chuki na uhasama wa hali ya juu hadi kufikia kutaka kutoana roho.
Mkuu tumeku-miss sana kwenye jukwaa la siasa za Home.......

Hata hivyo ninakukaribisha katika kumkosoa huyu Jiwe ambaye yeye anaamini, kwa kuzungukwa na vifaru vya kijeshi na magari ya washawasha, ndiyo AMEKUWA HAWEZEKANIKI!

Anasahau kuwa walikuwepo madikteta, akina Iddi Amin, Bokassa, just to mention a few......

Ajiulize wako wapi madikteta hao??

Wote wameenda kuudongo, ambako ndiyo mwisho wetu sote......

Whether wewe unalindwa na vifaru vya kijeshi, lakini mwisho wako ni huo wa kuchimbiwa chini ya ardhi, katika shimo lisilozidi futi 6x6!
 
Reactions: BAK
Ngoja nimalizie serengeti yangu nikalale mm?[emoji34][emoji34]
 
Ahsante sana Mkuu. Ni tatizo tu la uelewa wa huyu mtu. Kuna mifano chungu nzima duniani ya kuonyesha uovu na ukatili dhidi ya raia haujawahi kulipa mahali popote pale duniani.

Cha kushangaza huyu mwenzetu haioni mifano hiyo na kaamua kupindisha shingo na kutoa kauli zilizojaa kiburi, chuki na vitisho. Na waliomzunguka hawamwambii ukweli kuhusu kupotoka kwake na Nchi kwenda kama gari bovu.

Nahofia baada ya kelele zote hizi ndani na nje ya Nchi atatia akili kichwani na kubadili muelekeo wake au ataendelea kupindisha shingo kwamba yeye hajaribiwi na anainyoosha Nchi.

Baada ya miaka mitatu tumejionea Tanzania iliyonyooka ya jiwe sidhani kama tunataka kusubiri miaka mingine saba kuendelea naye huyu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…