Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Naafikiana na wewe 100%Mbowe uwa namuona Yuko Smart kuzidi wapinzani wengi kuanza kupangilia Hoja, utulivu, hata mawazo chanya , ni mfano Kwa wapinzani, anafuata Mbatia then Mnyika
Hawa vijana wa ccm wanajitungia tu uozo ili wafurahishane..huu ni UONGO.
..unataka kusema ni rahisi kwa mamlaka kubambika watu kesi na kuwaumiza kuliko kufanya maridhiano?
..kama Chadema ndio tatizo nini kilichomzuia Rais SSH kukutana na vyama vingine huku Chadema wakiwekwa kando ili kila mtu ajue ni wakorofi?
..Rais SSH alikuwa na uamuzi wa kuridhiana au kuendeleza ukatili na unyama wa awamu ya 5. So far muelekeo aliochukua unajulikana.
Come on!Who is Tundu Lissu to say our president is incapable?!!
Who is he by the way?!!!
Deluded chap?
Psychopath?!!!
How would one treat this guy nicely while he got bad tough.....
It is havoc......
SIEMPRE URT!
Did you ever hear him speak so?How you dare to speak that our commander-in- chief is incapable....how how?!!!!
This is an utter non-sense.....
Mzee acha Uwongo....mmekula za MABEBERU Mbowe mtamtoa tu.....Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
Umeandika nini sasaIlikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
Hawa vijana wa ccm wanajitungia tu uozo ili wafurahishane
Mkuu acha propaganda za uongo. Kwahiyo mna mtesa Mbowe kwasababu alisema mams hana uwezo wa kuongoza?Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
Hii sasa ni chumvi ya magadiNgoja niconfirm haya maaandishi kama yana ukweli then nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa muono wangu.
Kuna chumvi nyingi kwenye maandishi yako mkuu britanicca
Nyie ni watu hovyo kabisa. Watu wanaoumizwa ndio mnawalaumu?Mbowe huwa anajifanya anaongea kwa busara kwasababu za kibiashara na maslahi. Ndio maana baada ya kuona dalili za kupoteza mwaka 2020 aliwakusanya kundi lake lote kwenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru kumbembeleza Magu wapate maridhiano ila hawakufanikiwa.
Baada ya Magu kufa, ilibidi Mbowe atafute kwa nguvu kile alichokipoteza na mwisho wa siku ndio yuko mahabusu.
Lissu yeye huwa ni mihemko tu. Kwanza alishatangaza kwamba kiongozi yeyote wa CDM akikamatwa wamekubaliana hakuna kumwekea mawakili wala dhamana na kama ni polisi wakae nae tu.
Lakini sasa hivi wako busy na mawakili na kuchangisha michango ya pesa za wajinga.
Kila siku nikisema huyu TL ni mpuuzi mnakataa. Huwa hajitambui, tatizo lake anafikiri ni yeye tu anaweza kuongoza hii nchi. Mbowe is an intelligent man ingawa ana kazi mbiliUkishindwa kupigana nae basi join nae walitakiwa upinzani wafanye hivyo lkn kiburi chao sasa kinawaonyesha ndio Fatma Karume akamwambia Lissu Huna ADABU.
Ni kweli..Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
Samia ni rais dhaifu ka babake mwinyi, kujitutumua anakofanya ni kujaribu kuficha udhaifuIlikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,