Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

Tunasubiri maandamano ya CDM kwa hamu kubwa, hakuna cha maridhiano wala nini, Mama mwenyewe tunamnyoa kwa wembe, CDM ndiyo chama kikuu cha Upinzani na ukombozi TZ, nguvu ya umma ipo nyuma yetu, tukiitisha maandamano leo watu mil 7 wanaingia barabarani, kwanza huyo Mbowe tukiamua hata leo hii tunamtoa Segerea!! Alisikika mlevi mmoja kutoka Ufipa!! Makamanda gani wakiona polisi hadi wanajikojolea
 
..huu ni UONGO.

..unataka kusema ni rahisi kwa mamlaka kubambika watu kesi na kuwaumiza kuliko kufanya maridhiano?

..kama Chadema ndio tatizo nini kilichomzuia Rais SSH kukutana na vyama vingine huku Chadema wakiwekwa kando ili kila mtu ajue ni wakorofi?

..Rais SSH alikuwa na uamuzi wa kuridhiana au kuendeleza ukatili na unyama wa awamu ya 5. So far muelekeo aliochukua unajulikana.
Hawa vijana wa ccm wanajitungia tu uozo ili wafurahishane
 
Who is Tundu Lissu to say our president is incapable?!!

Who is he by the way?!!!

Deluded chap?

Psychopath?!!!

How would one treat this guy nicely while he got bad tough.....

It is havoc......

SIEMPRE URT!
Come on!

Can you actually prove that Lissu said so?

When it comes to Lissu you believe any negativity raises against him,why?

B'se you have that 'Lissuphobia' in your mindset,take it easy.
 
Kama ni kweli uliyoyaandika, sasa mama analaumiwa nini wakati issue ni ujuaji wa jamaa.

Moja ya changamoto ya jamaa yetu ni ujuaji na kujiona anahaki kesho apewe nchi aiongoze kana kwamba kuna jambo kuubwa aliifanyia nchi na nchi inapaswa kumlipa....aka ujivuni...
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca
Mzee acha Uwongo....mmekula za MABEBERU Mbowe mtamtoa tu.....
 
Umeandika nini sasa
 
Hawa vijana wa ccm wanajitungia tu uozo ili wafurahishane

..exactly.

..hawa vijana wanaamini Watz ni wajinga ndio maana wanatuletea maandiko kama haya.

..hakuna ulazima wa Rais SSH kukutana na Chadema, au hata vyama vingine vya upinzani.

..Raisi angeweza kuamua kwamba vyombo vya dola viheshimu sheria ya vyama vya siasa kwa kutovibugudhi wakati wa mikutano yao.

..Raisi na serikali yake wanaweza kupeleka mswada bungeni kuhusu kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi.

..Raisi na serikali wanaweza kufuta kesi zote za kisiasa na tukasonga mbele vyama vikiwa vimeridhiana.

..Raisi hajatekeleza yote hayo lakini mtoa mada anaelekeza lawama kwa Tundu Lissu.

..Binafsi naamini Rais na serikali hawajafanya kwasababu hawaamini ktk haki na usawa miongoni mwa vyama vya siasa. Pia hawaamini ktk Tume huru ya uchaguzi.
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca
Mkuu acha propaganda za uongo. Kwahiyo mna mtesa Mbowe kwasababu alisema mams hana uwezo wa kuongoza?

Mmechagua njia haramu, endeleeni nayo. Lissu ni level nyingine. Uongo wenu mtaumbuka.
 
Mbowe huwa anajifanya anaongea kwa busara kwasababu za kibiashara na maslahi. Ndio maana baada ya kuona dalili za kupoteza mwaka 2020 aliwakusanya kundi lake lote kwenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru kumbembeleza Magu wapate maridhiano ila hawakufanikiwa.

Baada ya Magu kufa, ilibidi Mbowe atafute kwa nguvu kile alichokipoteza na mwisho wa siku ndio yuko mahabusu.

Lissu yeye huwa ni mihemko tu. Kwanza alishatangaza kwamba kiongozi yeyote wa CDM akikamatwa wamekubaliana hakuna kumwekea mawakili wala dhamana na kama ni polisi wakae nae tu.

Lakini sasa hivi wako busy na mawakili na kuchangisha michango ya pesa za wajinga.
Nyie ni watu hovyo kabisa. Watu wanaoumizwa ndio mnawalaumu?

Mnaua biashara za watu ili wawapigie magoti?

Akili ya hovyo kabisa hii.
 
Lissu alianza kuongea sana na kumdharau Sa100, kibaya zaidi hata kama anahoja ila presentation yake hakuna anayeweza kuivumilia hasa huku kwetu Africa.
 
Ukishindwa kupigana nae basi join nae walitakiwa upinzani wafanye hivyo lkn kiburi chao sasa kinawaonyesha ndio Fatma Karume akamwambia Lissu Huna ADABU.
Kila siku nikisema huyu TL ni mpuuzi mnakataa. Huwa hajitambui, tatizo lake anafikiri ni yeye tu anaweza kuongoza hii nchi. Mbowe is an intelligent man ingawa ana kazi mbili
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca

Mbona haueleweki? Unataka kutuaminisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) alimpigia simu Lissu bila kupitia kwa wasaidizi wake? Halafu Lissu akamtolea nje, na kumtaka Rais wake afuate utaratibu ndio aweze kuongea nae? Au aliyeambiwa hivyo ni msaidizi wa Rais aliyepiga simu kwa niaba ya Rais? Halafu baada ya utovu huo wa nidhamu alio uonyesha Lissu, Rais wa JMT akampigia tena, lakini kwa kiburi Lissu hakupokea simu huku akijua inatoka kwa Rais? Na kuwa Mbowe ana kesi kwa sababu Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu wetu alikasirika alipoambiwa kuwa anadharauliwa kwa sababu ni mwanamke! Hilo tu ndio limemfanya aangalie tu wakati Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani akiwa ameswekwa ndani kwa mashtaka ambayo anajua hayana mashiko? Unataka kutuaminisha kuwa Rais wetu yuko so petty kuwa anakubali hali hii itokee kwa sababu kuna raia wake ana doubt uwezo wake wa kuongoza nchi? Yaani kwa kumtia ndani Mbowe ndio atamthibitishia Lissu kuwa pamoja na yeye kuwa mwanamke ana uwezo sana wa kuongoza nchi yake?

Mimi nadhani hapa lengo ni kumchafua Mheshimiwa Rais wa JMT kwa kuonyesha kuwa anatawaliwa na 'emotions' na kuwa ni rahisi kuyumbishwa ( kwanza wakina Warioba halafu sasa wakina Sirro). Kwa hili hamumtendei haki kabisa.

Kingine ni kuwa mnataka kuleta mpasuko katika uongozi wa Chadema kwa kuonyesha kuwa anayesababisha matatizo yao ni Lissu ambae amejaa kiburi na jeuri. Hilo nalo sio kweli kwa sababu Lissu alieleza kwa nini hakuweza kuongea na Ikulu alipopigiwa simu. Version yake ni kuwa alijaribu kuwapigia Ikulu alipokuwa na nafasi lakini hakufanikiwa.

Paragraph ya mwisho haiendani kabisa na yaliyotangulia. Kwa sababu hiyo itakuwa vyema kama utanisahihisha pale ambapo sikukuelewa ili nikuombe msamaha.

Amandla...
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca
Samia ni rais dhaifu ka babake mwinyi, kujitutumua anakofanya ni kujaribu kuficha udhaifu
 
Back
Top Bottom