Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano


..hata serikali ya ccm inapokea misaada toka kwa mabeberu kwa hiyo hakuna ubaya kwa wapinzani nao kupewa misaada.

..kama vyombo vya dola ikiwemo jwtz wanapokea misaada toka Marekani, utawalaumu vipi vyama vya upinzani kwa kupokea misaada?

..pia wapinzani walioko nje ya nchi ni wachache sana kulinganisha na walioko hapa nchini. Maridhiano ni kwa ajili ya Watz wote ili siasa zetu ziwe za haki kwa vyama vyote.
 
Maridhiano yatafanywa na vyama vya Upinzani wa uhakika sio genge la wahuni wa CHADEMA
 
Maridhiano yatafanywa na vyama vya Upinzani wa uhakika sio genge la wahuni wa CHADEMA

..nakubaliana na maoni yako 100/100.

..Tz tunahitaji uwanja huru na wenye usawa wa kwa vyama vyote kufanya shughuli zao.
 
Kuna ubaya kumuombea mtu utulivu wa akili?
 
Kuna ubaya kumuombea mtu utulivu wa akili?

Kunapokuwa na ubaguzi panapokuwa na ukakasi.

Unaonaje kama ukiwaongeza na hao 5 kwenye hayo maombezi ya kuwatakia mabadiliko huko vichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…