Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Haya, kafirwe ulale. Ass.hole.Wewe ubattle na Mimi? Wewe mtoto mdogo Sana. Kwanza kichwani wewe ni zero brain. Siwezi kubishana na zero brain
Huna akili. Stupid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, kafirwe ulale. Ass.hole.Wewe ubattle na Mimi? Wewe mtoto mdogo Sana. Kwanza kichwani wewe ni zero brain. Siwezi kubishana na zero brain
Tukisema tundu lisu upstairs hakukosawa #dishlimetilt tunapigwa ban, sijui sasa tusemeje?Who is Tundu Lissu to say our president is incapable?!!
Who is he by the way?!!!
Deluded chap?
Psychopath?!!!
How would one treat this guy nicely while he got bad tough.....
It is havoc......
SIEMPRE URT!
Samia awe macho. Maridhiano kwa hawa vibaraka maana yake tuache kuendesha nchi yetu kwa msingi wa kutaka maendeleo ya umma. Je hii serikali ya mama samia iko tayari kwa hilo? Maana huo ndio msingi wa itikadi ya ccm.Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kweli huyu ni mlevi mmoja nimecheka kishenziTunasubiri maandamano ya CDM kwa hamu kubwa, hakuna cha maridhiano wala nini, Mama mwenyewe tunamnyoa kwa wembe, CDM ndiyo chama kikuu cha Upinzani na ukombozi TZ, nguvu ya umma ipo nyuma yetu, tukiitisha maandamano leo watu mil 7 wanaingia barabarani, kwanza huyo Mbowe tukiamua hata leo hii tunamtoa Segerea!! Alisikika mlevi mmoja kutoka Ufipa!! Makamanda gani wakiona polisi hadi wanajikojolea
Watanzania hasa WanaCcm wana tabia ya Kutunga propaganda na kufanya jamii ione wapinzani ni watu wa hovyo sana. Huyu Britanica alishashiriki vitendo vya hujuma mbaya kwenye uchaguzi, sasa hivi amerudi na mkakati mpya wa propaganda tena ili kudidimiza upinzani. Lakini pia ukisoma alichokiandika ni hujuma hata kwa Raisi wa Nchi. Anaposema kesi ziko drafted anatoa picha gani? Nani alizidraft? Kwa faida ya nani? Anyway, tunapaswa Kuwa waangalifu sanaaaa.Mbona haueleweki? Unataka kutuaminisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) alimpigia simu Lissu bila kupitia kwa wasaidizi wake? Halafu Lissu akamtolea nje, na kumtaka Rais wake afuate utaratibu ndio aweze kuongea nae? Au aliyeambiwa hivyo ni msaidizi wa Rais aliyepiga simu kwa niaba ya Rais? Halafu baada ya utovu huo wa nidhamu alio uonyesha Lissu, Rais wa JMT akampigia tena, lakini kwa kiburi Lissu hakupokea simu huku akijua inatoka kwa Rais? Na kuwa Mbowe ana kesi kwa sababu Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu wetu alikasirika alipoambiwa kuwa anadharauliwa kwa sababu ni mwanamke! Hilo tu ndio limemfanya aangalie tu wakati Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani akiwa ameswekwa ndani kwa mashtaka ambayo anajua hayana mashiko? Unataka kutuaminisha kuwa Rais wetu yuko so petty kuwa anakubali hali hii itokee kwa sababu kuna raia wake ana doubt uwezo wake wa kuongoza nchi? Yaani kwa kumtia ndani Mbowe ndio atamthibitishia Lissu kuwa pamoja na yeye kuwa mwanamke ana uwezo sana wa kuongoza nchi yake?
Mimi nadhani hapa lengo ni kumchafua Mheshimiwa Rais wa JMT kwa kuonyesha kuwa anatawaliwa na 'emotions' na kuwa ni rahisi kuyumbishwa ( kwanza wakina Warioba halafu sasa wakina Sirro). Kwa hili hamumtendei haki kabisa.
Kingine ni kuwa mnataka kuleta mpasuko katika uongozi wa Chadema kwa kuonyesha kuwa anayesababisha matatizo yao ni Lissu ambae amejaa kiburi na jeuri. Hilo nalo sio kweli kwa sababu Lissu alieleza kwa nini hakuweza kuongea na Ikulu alipopigiwa simu. Version yake ni kuwa alijaribu kuwapigia Ikulu alipokuwa na nafasi lakini hakufanikiwa.
Paragraph ya mwisho haiendani kabisa na yaliyotangulia. Kwa sababu hiyo itakuwa vyema kama utanisahihisha pale ambapo sikukuelewa ili nikuombe msamaha.
Amandla...
Huyu poyoyo britanica unamuita mwanaccm ,uliwahi kuona kilaza CCMWatanzania hasa WanaCcm wana tabia ya Kutunga propaganda na kufanya jamii ione wapinzani ni watu wa hovyo sana. Huyu Britanica alishashiriki vitendo vya hujuma mbaya kwenye uchaguzi, sasa hivi amerudi na mkakati mpya wa propaganda tena ili kudidimiza upinzani. Lakini pia ukisoma alichokiandika ni hujuma hata kwa Raisi wa Nchi. Anaposema kesi ziko drafted anatoa picha gani? Nani alizidraft? Kwa faida ya nani? Anyway, tunapaswa Kuwa waangalifu sanaaaa.
Lissuu ni kiongozi mzuri sana na mwanataaluma mzuri kabisa ila ndio hivyo Mungu akupi vyote, mwenzetu amepungukiwa na busara kwa kiasi fulani.Ndugu Tundu Lissu ni "bwakubwaku".....
"Too much know" asiye na ulimi wa nidhamu wala heshima.....
Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....
Sio mtu mzuri kabisa.Watanzania hasa WanaCcm wana tabia ya Kutunga propaganda na kufanya jamii ione wapinzani ni watu wa hovyo sana. Huyu Britanica alishashiriki vitendo vya hujuma mbaya kwenye uchaguzi, sasa hivi amerudi na mkakati mpya wa propaganda tena ili kudidimiza upinzani. Lakini pia ukisoma alichokiandika ni hujuma hata kwa Raisi wa Nchi. Anaposema kesi ziko drafted anatoa picha gani? Nani alizidraft? Kwa faida ya nani? Anyway, tunapaswa Kuwa waangalifu sanaaaa.
Hakika Komredi 👍Lissuu ni kiongozi mzuri sana na mwanataaluma mzuri kabisa ila ndio hivyo Mungu akupi vyote, mwenzetu amepungukiwa na busara kwa kiasi fulani.
Hakika....Tukisema tundu lisu upstairs hakukosawa #dishlimetilt tunapigwa ban, sijui sasa tusemeje?
Huyo jamaa hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa, inashangaza hata chadema kuendelea kumtumia wakitegemea atawafanikishia kitu cha maana.
He's a hopeless delusional dude
Huyo jamaa ana chuki Sana .Lakini tusimlaumu shida atakua ni maisha magumu aliyonayo maana sio kwa chuki hiyo.Nyie ni watu hovyo kabisa. Watu wanaoumizwa ndio mnawalaumu?
Mnaua biashara za watu ili wawapigie magoti?
Akili ya hovyo kabisa hii.
Huyo jamaa Huwa ni kilaza Sana .Anafikili Nchi ni Mali ya Rais wakati Rais yupo chini ya katiba,usimlaumu uwezo wake wa kufikili ndo umefikia mwisho.Rais akisema uwe shoga utakuwa? Be specific wakati mnatoa hoja zenu. Watanzania sio wajinga
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ni Tume Huru, ila sio shirikishi.Raisi na serikali yake wanaweza kupeleka mswada bungeni kuhusu kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi.
..Raisi na serikali wanaweza kufuta kesi zote za kisiasa na tukasonga mbele vyama vikiwa vimeridhiana.
..Raisi hajatekeleza yote hayo lakini mtoa mada anaelekeza lawama kwa Tundu Lissu.
..Binafsi naamini Rais na serikali hawajafanya kwasababu hawaamini ktk Tume huru ya uchaguzi.
Chadema walishaikimbia nchi tuwe wakweli Mbowe na Kina Lema wameanza mipango ya kurudi Tanzania baada ya dikteta kuondokaUsingesema chadema ilisarenda ningekuweka kuwa genious .
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,
Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,
Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!
Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .
Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.
Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,
Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!
Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,
Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!
Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!
KATIBA MPYA NDO DAWA!!
Britanicca
Ndugu Tundu Lissu ni "bwakubwaku".....
"Too much know" asiye na ulimi wa nidhamu wala heshima.....
Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....