Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

Yaani baada ya kumshindwa Mh Lissu kwa risasi sasa mnajaribu kumshambulia kwa maneno. Nako mtashindwa. Unajidai kumsifia Mh Mbowe wakati upuuzi wote wa watawala unaufahamu fika.
Nani mshindi mpaka sasa kati ya anaebweka huko nje na Rais anayebweka ndani ya Ikulu?
 
Wakati mwingine vizuri kujipa faraja ili upate japo lepe la usingizi. Lakini ukiamka ukweli unakusubiri kwamba hii nchi siyo yenu pekeenu. Nyie hamna nguvu kubwa kuliko waliyokuwa nayo makaburu. Ndio maana mmebaki kuvizia akina mama wanaokwenda jogging kwa afya zao.
Mbona hawakuzuiwa kwenda kugaragara na kujiliza ubalozi wa US? Hivi mrejesho wa vile vilio ni nini? Maana kamanda anatoboa siku ya 90 lupango muda si mrefu, na hapo kesi hata bado haijaanza
 
How you dare to speak that our commander-in- chief is incapable....how how?!!!!

This is an utter non-sense.....
Samia Suluhu mwenyewe amekiri hadharani kwamba she is incapable, wewe ni nani wa kupinga kauli ya rais ?
 
Mbowe huwa anajifanya anaongea kwa busara kwasababu za kibiashara na maslahi. Ndio maana baada ya kuona dalili za kupoteza mwaka 2020 aliwakusanya kundi lake lote kwenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru kumbembeleza Magu wapate maridhiano ila hawakufanikiwa.

Baada ya Magu kufa, ilibidi Mbowe atafute kwa nguvu kile alichokipoteza na mwisho wa siku ndio yuko mahabusu.

Lissu yeye huwa ni mihemko tu. Kwanza alishatangaza kwamba kiongozi yeyote wa CDM akikamatwa wamekubaliana hakuna kumwekea mawakili wala dhamana na kama ni polisi wakae nae tu.

Lakini sasa hivi wako busy na mawakili na kuchangisha michango ya pesa za wajinga.
Na hicho kitendo wewe kinakufilimba hadi basi
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca
Acha kuongea Maneno ya kijiweni Kwamba Lissu ndiye ana offisi ya chadema ubeligiji? Mpaka ikulu wampigie simu kule?

Myika, Mbowe hawakuwepo? Maridhiano yanafanyika kwenye simu?

Lissu angafanya maridhiano pekee wakati Kuna chama na chama kipo Tanzania yeye yupo ulaya?

Walishindwa Nini kujibu barua ya chadema kuelekea waliyoandika ikulu?

Hivi kutoa official statement kwamba barua imepokelewa na wakapanga tarehe ya maridhiano ilishindikana?

Mpaka watumie pesa za walipa Kodi kumfuata mtu ubeligiji? What if Lissu alihofia usalama wake kukutana na mtu mwenyewe?

Me nauliza maridhiano ya kitaifa Ni Kati ya Lissu na serikali au Vyama vya upinzani na serikali?

Acheni kuwa mnaongea ongea uongo we sema tu baadhi ya wanna ccm na wajinga wengine serikalini hawataki maridhiano ya kitaifa kwa kujua watashughulikiwa yakifanyika!!
 
kwahyo ruta alitumwa akamfanye Nini lisu ipelekee Lisu alale mbele!!!!!tuazie hapo Mana nimesoma bandiko lako naona limeyumbishwa pahala
 
Mbona hawakuzuiwa kwenda kugaragara na kujiliza ubalozi wa US? Hivi mrejesho wa vile vilio ni nini? Maana kamanda anatoboa siku ya 90 lupango muda si mrefu, na hapo kesi hata bado haijaanza
Yaonekana kama vile unaweweseka. Utakapotulia nitakusikiliza.
 
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya Upinzani vya Akina Cheyo bali aliilenga Chadema kwakuwa alitambua kabisa uchaguzi wa mwaka 2020 kulifanyika maigizo ya hali ya hatari sana kuyatangaza matokeo,

Pamoja na kwamba Chadema walikuwa wamesha surrender kwa Magufuli ambaye katangulia mbele ya haki sasa , ndani ya Serikali na CCM Kuna watu bado wana mawazo chanya waliona itakuwa si vema kuongoza nchi bila maridhiano,

Mzee Warioba, akiwa na wenzake wanne walikutana na wazee wa CCM na kuomba kwamba hawafurahii kuona watanzania wenzao wako nje ya nchi Kama wakimbizi hivyo Kesi zote zifutwe za uhaini na uchochezi warejee nchini mara moja! Maana orodha inaonesha wanaopaswa kufungwa ni 22 na waliwekewa mitego Mpakani na viwanja vyote vya ndege!!

Samia alisikiliza ushauri wa wazee na kukubali juu ya Suala la kukutana na Upinzani, bwana LISSU alivyo jua hayo kutoka Kwa Rwehumbiza Acting reprentative akawa ame omba sasa kuongea na Samia Kwanza yeye Kama yeye, Samia akakubali kabisa, kilichofuata Lissu akatumiwa mwakilishi kukutana naye akamkwepa (Rutabanzibwa) .

Akapigiwa Simu na Rais mwenyewe akasema anipigie Kwa kufuata Utaratibu Mungeniandaa Mapema juu ya kuongea naye sikurupuki kuongea naye! Wakamuuliza lini akasema, akapigiwa tena hakupokea Simu.

Huku akiendelea na Mazungumzo na wenzake kuwa Samia Hana Uwezo wa Kuongoza nchi, She is not in capacity of being a President of Tz na Wanaojadiliana naye wanavujisha Siri na Sauti Pia,

Ndipo Sasa hawa Kina SIRRO, na Mchengerwa wakamwambia Samia kuwa hawa wanakuchezea kwakuwa wewe ni mwanamke! Kwa Magufuli wasingefanya haya!! Hivyo basi acha kesi ziendelee kawaida kama ambavyo zimeshakuwa drafted awali, waende wenyewe Kujitetea wakikutwa na hatia wawajibike, wakikutwa hawana hatia basi waendelee na shughuli zao!!

Ndo yakaendelea ya Mbowe kuwekwa ndani,

Kwanza Samia angeongea nao ingeleta picha Tofauti sana!!

Wito wangu , Tunatakiwa Kupata Taasisi zilizo imara ambazo hazitegemei Rais anaamua nini bali sheria na KATIBA inasema nini, Kwakuwa scenario nzima inaonesha kuwa Kesi zimekuwa drafted kwa tamko la Magufuli Kwa sababu kadhaa bila ushahidi, alafu wanaotaka zifutwe bado wanaweka matumaini zifutwe na Samia bila kufuata Sheria inasema nini!!!!

KATIBA MPYA NDO DAWA!!

Britanicca
Ni suala la muda tu! Narudia ni suala la muda tu watapatikana wenye akili maana Simbachawene Amesema Askari wetu hawatakiwi wawe na akili. Which means automatically kuwa IGP yuko kwenye kundi hilo pia
 
Ndugu Tundu Lissu ni "bwakubwaku".....

"Too much know" asiye na ulimi wa nidhamu wala heshima.....

Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....
Si kila mtanzania anahitaji katiba mpya(bora) ila Tanzania inahitaji katiba bora,(mpya)
 
Mama Samia Raisi wetu mpendwa mm nakuomba Uvae tu VIATU vya Marehemu hata kama vitakupwaya hawa watu ni PUNDA hawendi mpaka kwa bakora ,waswahili chakula cha simba tu ,huna wema wowote utaofanya wasikuseme kwa ubaya watie adabu sana ili wanyoeke.
Dunia haiendi hivyo we kiongo,na akivaa viatu visivyomtosha vitamuangusha,kama yupo kwenye jamii ya punda basi hata yeye atakuwa punda tu,na ataenda kwa bakora,na adabu ataishika,japo naamini anayo ya kutosha.
 
..huu ni UONGO.

..unataka kusema ni rahisi kwa mamlaka kubambika watu kesi na kuwaumiza kuliko kufanya maridhiano?

..kama Chadema ndio tatizo nini kilichomzuia Rais SSH kukutana na vyama vingine huku Chadema wakiwekwa kando ili kila mtu ajue ni wakorofi?

..Rais SSH alikuwa na uamuzi wa kuridhiana au kuendeleza ukatili na unyama wa awamu ya 5. So far muelekeo aliochukua unajulikana.
Nyie chadema mnajifanya special sana wacha mkome,
Kila kitu mnajua na kiburi manacho saana.
 
Mbowe huwa anajifanya anaongea kwa busara kwasababu za kibiashara na maslahi. Ndio maana baada ya kuona dalili za kupoteza mwaka 2020 aliwakusanya kundi lake lote kwenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru kumbembeleza Magu wapate maridhiano ila hawakufanikiwa.

Baada ya Magu kufa, ilibidi Mbowe atafute kwa nguvu kile alichokipoteza na mwisho wa siku ndio yuko mahabusu.

Lissu yeye huwa ni mihemko tu. Kwanza alishatangaza kwamba kiongozi yeyote wa CDM akikamatwa wamekubaliana hakuna kumwekea mawakili wala dhamana na kama ni polisi wakae nae tu.

Lakini sasa hivi wako busy na mawakili na kuchangisha michango ya pesa za wajinga.
Chuki binafsi
 
anafuata Mbatia
Never, labda mama Tanzania tu neno analolipenda. Mbatia hana reasoned arguments kama Lisu!
Britanica, tatizo letu bado mimi na wewe ni kuwaona Rais kama or above Mungu. Ukimuona Rais kama mtumishi wako, utamwambia makavu (bila kumtukana wala kumbeza). Lisu kisu anakiita kisu and not otherwise!

CCM nani anjua kujenga hoja? a reasoned hoja na si mitulinga ya watanifanya nini
 
Lissu pamoja na usomi wako, umeshindwa kutambua kuwa mkuu wa nchi katiba imempa madaraka makubwa. Chunga ulimi wako.
 
Mimi sijasema ufanye kitu anachotaia Rais.

Ninachopinga hapa ni kujili,jaliza kama mbwa koko baada ya kupigwa kwenye vita uliyojiingiza mwenyewe.

Kama huwezi battle, kaa pembeni.
Wewe ubattle na Mimi? Wewe mtoto mdogo Sana. Kwanza kichwani wewe ni zero brain. Siwezi kubishana na zero brain
 
Back
Top Bottom