"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

Siro utafikiri hajaenda shule kabisa! Anaongelea amani, badalaa ya kusisitiza haki kutendeka ili kuepusha uvunjifu wa amani?!

Hivi anajidanganya kuwa polisi wanaweza kukabiliana na wananchi wakiamua kutetea haki yao inayoelekea kuporwa!

Anajilisha upepo na anongea kimaamuma kabisa!
Ulimwengu wa leo hakunaga polisi inaweza kuleta amani wananchi wakiamua! Aache kutisha watu kijinga
 
Booo! WTF? Really come on dude!
Si ili alindwe vizuri, likitokea la kutokea basi PT walalamikiwe kama hamtaki tujue basi likitokea la kutokea basi hakuna haja ya kulalamika.

Serikali lazima itambue mahali kila mtu anaishi ndio maana unakuta vitambulisho vya uraia nk.

So kama hamtaki kufuatiliwa anything happens is up to you dude.
 
Siro utafikiri hajaenda shule kabisa! Anaongelea amani, baraka ya kusisitiza haki kutendeka ili kuepusha uvunjifu wa amani?!

Hivi anajufanganya polisi wanaweza kukabiliana na wananchi wakiamua kutetea haki yao inayoelekea kuporwa!

Anajidanganya na anongea kimaamuma kabisa! Ulimwengu wa leo hakunaga polisi inaweza kuleta amani wananchi wakiamua! Aache kutisha watu kijinga

OK lakini huyo ndo Sirro mkuu, IGP wetu watanzania.
 
Jiwe asingekuwa muuaji na mvunjifu wa demokrasia na haki za binadamu tungemuunga mkono tu, kwa sasa usitupangie chochote Mkuu.
Hakuna awamu ambayo hamkosi sababu ya kupinga utawala uliopo ,

Upinzani ndio kazi yenu hivyo kauli zenu hazina madhara so long as tunajua mnatimiza tu wajibu wenu wa kupinga kila kitu.
 
Huyu siro anaongea, sana siku hizi kaacha ukamanda amekuwa mwanasiasa.
 
Robert Amsterdam yupo anawazoom tu ila siku wakija kupelekwa the heague aliyewatuma atawakana kilomita 6
 
Robert Amsterdam yupo anawazoom tu ila siku wakija kupelekwa the heague aliyewatuma atawakana kilomita 6
Kitu kinachonifurahisha ndio hicho jina likiwa la kizungu tu basi Wanaharakati na Chadema wanaharisha. Kazi kweli kweli. Bado mna mawazo ya kikoloni, Tanzania ni nchi huru aje huyo mjinga wenu tutamweka ndani shwaini kabisa.
 
Huyu siro anaongea, sana siku hizi kaacha ukamanda amekuwa mwanasiasa.
anajua hawataweza kutumia nguvu kubwa hivyo anajaribu kuwatisha wananchi waogope kutekeleza haki zao kama kukusanyika na kulinda kura.
rejea tulivyotishwa kwenda kumpokea lissu.
 
Back
Top Bottom