Bwana Mnyika ndio kabisa hakuna kitu paleCHADEMA mnazidi kupotea, mnazidi kupoteza uhalali na kukubalika kisiasa. Watu huwa hawaishi kwa uhasama miaka yote ingawa uhasama wenu ni wa kimaslahi pia.
Wazanzibari wameona hawawezi kuishi kwa kununiana wakati wanaweza kuunganisha nguvu na kujenga nchi yenye kufanya shughuli za kimaendeleo zenye kupiga hatua haraka.
CHADEMA mnayo changamoto ya kupata uongozi mpya wenye maono mapya kabisa, huu wa sasa umeshapoteza muelekeo.
Perfect.Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano iliyofikiwa leo pale Zanzibar.
Lakini ninapinga maridhiano haya yasiyo weka wazi msingi wa Maridhiano. Ninasema haya kwakuwa hadi sasa ACT na CCM hawajatueleza msingi wa maridhiano haya ni nini na hawajatuambia matunda yamaridhiano ya nyuma nini na kitendo cha leo kuweko maridhiano tena ni tafsiri ya kuwa maridhiano ya nyuma hayakuzaa matunda.
Nimesikiliza hotuba ya Maalim Seif leo, ni nzuri lakini haijajibu hoja za msingi za sisi tunaohoji msingi wa maridhiano haya. Imekuwa ni hotuba ya jumla zaidi inayo tulazimisha tufute machozi bila kutueleza kuwa kesho hatutalia kwasababu ya hili na lile.
Moja ya kichaka cha hoja wanachojificha wanaotetea ACT kujiunga na CCM ni hiki kinachoitwa "Siasa za Zanzibar zina namna yake". Hivyo hata tukihoji kwamba sababu zilizofanya 2015 wagomee zimetatuliwa ndipo wameingia tena au laaa? Wao wanatuziba kwa kujificha kwenye kichaka kinachoitwa historia ya siasa za Zanzibar.
Tumehoji hapa kwamba ni makubaliano gani ambayo ACT na CCM wameyaweka mezani hadi kufikiwa maridhiano ya leo ili kesho yasijirudie haya? Bado hatujibiwi tunarudishwa kwenye kichaka kanakwamba sisi hatujui historia ya Zanzibar.
Mfano Chadema imeweka mezani msingi wa maridhiano ya kitaifa kati yake na CCM ambayo ni 1. Kutambua kuwa uchaguzi ulikuwa batili, 2. Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, 3. Mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba kuendelea
Pengine kuna wanachoshindwa kusema wazi kuwa maslahi ya Maalim na Wenzake yamezingatiwa kuliko malengo ya Wazanzibar ya kupata nchi yao ambao ndio msingi ulioasisiwa na CUF ya Maalim. Nani leo mtetezi wa Wazanzibar??
Jibu liko Pemba na Unguja!
_______________
Nakukumbusha, ni mwezi wa Sikukuu, Watu watano watapata ZAWADI ya kitabu cha Ujasusi kwa 20,000 tu popote ulipo badala ya 80,000.
Lipia 20,000/= kwa
TigoPesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
Airtel Money 0788887887
HaloPesa 0624452045
(Yericko Nyerere)
Tuma majina yako na ulipo
(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Instagram Follow @yerickonyerere
View attachment 1644809
OK,bado kdg utachanganyikiwaMbowe hatoki cdm mkitaka nendeni mkanywe sumu maana hamna faida kwa taifa hili.
Mimi siungi mkono maridhiano hayo na wala sitayaunga mkono hata nikiwekewa bunduki kichwani .
Liwalo na liwe
Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano iliyofikiwa leo pale Zanzibar.
Lakini ninapinga maridhiano haya yasiyo weka wazi msingi wa Maridhiano. Ninasema haya kwakuwa hadi sasa ACT na CCM hawajatueleza msingi wa maridhiano haya ni nini na hawajatuambia matunda yamaridhiano ya nyuma nini na kitendo cha leo kuweko maridhiano tena ni tafsiri ya kuwa maridhiano ya nyuma hayakuzaa matunda.
Nimesikiliza hotuba ya Maalim Seif leo, ni nzuri lakini haijajibu hoja za msingi za sisi tunaohoji msingi wa maridhiano haya. Imekuwa ni hotuba ya jumla zaidi inayo tulazimisha tufute machozi bila kutueleza kuwa kesho hatutalia kwasababu ya hili na lile.
Moja ya kichaka cha hoja wanachojificha wanaotetea ACT kujiunga na CCM ni hiki kinachoitwa "Siasa za Zanzibar zina namna yake". Hivyo hata tukihoji kwamba sababu zilizofanya 2015 wagomee zimetatuliwa ndipo wameingia tena au laaa? Wao wanatuziba kwa kujificha kwenye kichaka kinachoitwa historia ya siasa za Zanzibar.
Tumehoji hapa kwamba ni makubaliano gani ambayo ACT na CCM wameyaweka mezani hadi kufikiwa maridhiano ya leo ili kesho yasijirudie haya? Bado hatujibiwi tunarudishwa kwenye kichaka kanakwamba sisi hatujui historia ya Zanzibar.
Mfano Chadema imeweka mezani msingi wa maridhiano ya kitaifa kati yake na CCM ambayo ni 1. Kutambua kuwa uchaguzi ulikuwa batili, 2. Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, 3. Mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba kuendelea
Pengine kuna wanachoshindwa kusema wazi kuwa maslahi ya Maalim na Wenzake yamezingatiwa kuliko malengo ya Wazanzibar ya kupata nchi yao ambao ndio msingi ulioasisiwa na CUF ya Maalim. Nani leo mtetezi wa Wazanzibar??
Jibu liko Pemba na Unguja!
_______________
Nakukumbusha, ni mwezi wa Sikukuu, Watu watano watapata ZAWADI ya kitabu cha Ujasusi kwa 20,000 tu popote ulipo badala ya 80,000.
Lipia 20,000/= kwa
TigoPesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
Airtel Money 0788887887
HaloPesa 0624452045
(Yericko Nyerere)
Tuma majina yako na ulipo
(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Instagram Follow @yerickonyerere
Shukrani sana mkuuPerfect.
Kabla ya jambo lolote lile, ACT walipaswa waseme kwanza wameridhiana na CCM kwa lipi hasa, msingi wa maridhiano yao ni upi, na kipi tukitegemee kitazaliwa na maridhiano yao?
Kuhusu kuwa wanachama wa ACT walipiga kura kuamua kuingia kwenye SUK, hilo nalo siliamini kwa 100% kwa sababu mbili.
(i)Wanachama wa ACT hawakujulishwa mantiki ya kile ambacho chama chao kimepanga kukifanya.
(ii)Hatukuona mchakato wowote wa ndani ya ACT wa kupiga hizo kura.
Katiba huwa mwamvuli kwa yale yanayowafurahisha tu. Wanapoivunja hawaikumbuki kabisa.Kumekuwa na mapenzi makubwa ya Katiba kipindi hiki. Wanaowatetea wabunge wa COVID19 wananukuu katiba, wanaomtetea Maalim Seifu nao wananukuu katiba.
Je mapenzi haya ya Katiba yataendelea kwa vifungu vyote kwa mfano uwepo wa vyama vingi, haki ya kuandamana, haki ya kupewa dhamana kwa mshtakiwa et cetera et cetera!
Mngekuwa mnahoji pia kuhusu mishahara ya wafanyakazi wa ACT na pango za majengo zinalipwaje bila nyie kushirikishwa ingekuwa poa sanaPerfect.
Kabla ya jambo lolote lile, ACT walipaswa waseme kwanza wameridhiana na CCM kwa lipi hasa, msingi wa maridhiano yao ni upi, na kipi tukitegemee kitazaliwa na maridhiano yao?
Kuhusu kuwa wanachama wa ACT walipiga kura kuamua kuingia kwenye SUK, hilo nalo siliamini kwa 100% kwa sababu mbili.
(i)Wanachama wa ACT hawakujulishwa mantiki ya kile ambacho chama chao kimepanga kukifanya.
(ii)Hatukuona mchakato wowote wa ndani ya ACT wa kupiga hizo kura.
Kilaza hii mada ni nzito kwako.
Wanachgua vipengele vinavyo wa fauvor wanasiasa na ulaji kuliko vyenye maslahi kwa wananchiKumekuwa na mapenzi makubwa ya Katiba kipindi hiki. Wanaowatetea wabunge wa COVID19 wananukuu katiba, wanaomtetea Maalim Seifu nao wananukuu katiba.
Je mapenzi haya ya Katiba yataendelea kwa vifungu vyote kwa mfano uwepo wa vyama vingi, haki ya kuandamana, haki ya kupewa dhamana kwa mshtakiwa et cetera et cetera!
Msingi wa uanzishwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa ilikuwa ni nini?
CCM na ACT-Wazalendo walichofanya ni kutimiza takwa la Katiba ya Zanzibar 1984.
Kama ndani ya katiba kuna maridhiano basi walichofanya ni kutekeleza kilichoko ndani ya katiba.
Inanishangaza ulipoandika ''Mfano Chadema imeweka mezani msingi wa maridhiano ya kitaifa kati yake na CCM ambayo ni 1. Kutambua kuwa uchaguzi ulikuwa batili, 2. Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, 3. Mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba kuendelea''
CHADEMA mnataka maridhiano na nani? Kwa lipi? Kwa msingi wa katiba ipi?
Katiba ya Tanzania inasema, the winner takes all. Kwa Tanzania bara uchaguzi umeisha!
CHADEMA wanatakiwa waishi na wakati na sio matamanio hewa!
Ninajua baada ya muda CHADEMA wataanza kupokea ruzuku za serikali lakini pia watapeleka wabunge wa viti maalum bungeni hata kama sio kina Mdee na kundi lake!
MmawiaTupo wengi sana kwa hili halikubaliki kabisa,lkn siku zote nimekuwa nikisema kuwa upinzani wa Zitto unatia mashaka sana hapa Tanzania.
We mtu wa kyela,maridhiano ya wazanzibari yanakuhusu nini?Mimi siungi mkono maridhiano hayo na wala sitayaunga mkono hata nikiwekewa bunduki kichwani .
Liwalo na liwe
Mimi nipo cdm chama ambacho naamini ni cha upinzani wa kweli kabisa ,kwa sasa tunaendelea kuwaondoa makapi, wale wasiyo na moyo wa subira.Mmawia
Ukitaka kujua maana yake nakushauri anzisha chama chako ambacho kitakuwa cha kipinzani kwa upinzani huo unaouona kwako.
Pumbaf sana wewe,yaani ubaguzi wa kikanda unawanuka maccmWe mtu wa kyela,maridhiano ya wazanzibari yanakuhusu nini?
Chadema mmeumia Sana,hasa mkikumbuka vile Tundu alivyovuka maji kwenda kumpigia Debe sefuPumbaf sana wewe,yaani ubaguzi wa kikanda unawanuka maccm