Tunakula bata kwa mkuu wa mkoa "Mungu wa Dar"

Tunakula bata kwa mkuu wa mkoa "Mungu wa Dar"

9a3c53136e71fd9391044f76fa21499b.gif
 
Msisahau kununua Hisa za vodacom, maana kwa style hii watumiaji wa mtandao wanajiunga sana katika bundle. Kwa ajili ya kukesha kwy Mitandao
 
There is no time like the present!
 
Zamani ilikuwa wanawake ndio wakienda kwa Mwanaume wanatamba Siku hizi Wanaume wanaenda kwa Bashite wanafurahia kama vile wanatamani kuolewa hapo
Umesema!!!...Rudia tena tafadhali, nilikuwa namsikiliza Gwajima.
 
Back
Top Bottom