Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

ungekaa chini na kuanza kumuwaza na kumchambua Nabi kwanza usingeandika huu UJINGA
 
Hivi ndivyo Binadamu na Watanzania walivyo, Akifanikiwa mwenzake hujaa husuda na wivu na hata kumuombea mabaya, Badala ya kujifunza hasa Siri ya mafanikio yake ili nao iwasidie kuinuka .wao hukesha kumuombea mabaya. Umewakilisha wale wote wenye roho mbaya.
 
All the best Utopolo mechi ya marudiano, mfike fainali na kombe mlibebe.

WAKIBEBA KOMBE SIJUI SURA ZETU TUTAZIFICHA WAPI!
 
The king 👑 of Cannabis Sativa is back on the platform breathing fire 🔥 as usual.
 
Nadhani baada ya hiyo match ninavyokujua utakuja kumtukana MO hapa
 
Siku zote nilijua wewe ni mwanaume ila leo ndio najua wewe ni mwanamke baada ya kuona uwasilishaji wako wa hii mada , kuna tabia fulani za kike nimeziona , yaani unachamba na kuweka vidole vitatu juu huku umeshika Kiuno.

Madame GENTAMYCINE bhana
 
tunakukumbusha yanga alishashinda ugenini KENGE wewe
 
Sema Nabi akipanga kile kikosi chake cha kuzuia anaweza akala hata mkono ila akiweka Lomalisa,Sure Boy,Abbas,Moroko,Musonda na Mayele wanakufa kwao hao Marumo shida makocha wetu hawajui wafanye nini mpaka waone mechi hawa jamaa wapo vizuri sana kiungo harafu anawaweka watu wa kupiga pass ndefu na kukimbia hiyo kitu haipo hawa wadogo ni wepesi sana kuliko sisi...
 
Na tarehe 18 uje kama ulivyo kuja leo maana hamkawii kujificha baada ya matokeo, pia mnateseka sana lakini mwamba ndiyo hivyo anazidi kupepea ila nisiwe msemaji sana nawashauri tu lipeni madeni na posho za wachezaji wenu ili msimu ujao mfike hata alipo fika yanga
 
Yanga atafungwa Goli 3 kwa 0 au 4 kwa 1 huko Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC tarehe 17 May, 2023 na Kutolewa kabisa. Niamini na tunza hii Post yangu tafadhali.
 
Kuna kipindi nilikuona nakuona una akili kumbe uko WhatsApp group na James Delicious
 
Ile Marumo iliyowatoa USM algersna Akhdar siyo hii ya sasa mchele mchele, Marumo atapigwa nje ndani. Na kwenye fainali wale wajinga iwe USM Algers au Asec Sambusas yanga ni kama atakuwa anasukuma mlevi tu. Kombe la losers LAZIMAAA litatinga Jangwani mwaka huu.
 
Marumo ndo walianza kushinda 4-1 dhidi ya Al akhda na wakabamizwa hizo 4-1 ugenini mechi ya pili.
 
Umepaniki broo. Wewe sio mtu wa mpira ila ni shabiki Nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…