Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungekaa chini na kuanza kumuwaza na kumchambua Nabi kwanza usingeandika huu UJINGATuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
Hivi ndivyo Binadamu na Watanzania walivyo, Akifanikiwa mwenzake hujaa husuda na wivu na hata kumuombea mabaya, Badala ya kujifunza hasa Siri ya mafanikio yake ili nao iwasidie kuinuka .wao hukesha kumuombea mabaya. Umewakilisha wale wote wenye roho mbaya.Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
Nadhani baada ya hiyo match ninavyokujua utakuja kumtukana MO hapaTuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
Siku zote nilijua wewe ni mwanaume ila leo ndio najua wewe ni mwanamke baada ya kuona uwasilishaji wako wa hii mada , kuna tabia fulani za kike nimeziona , yaani unachamba na kuweka vidole vitatu juu huku umeshika Kiuno.Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
🤣🤣🤣🤣🤣Nalijua hili Mkuu tena kwa 100% ila napenda tu Kuwajambisha ( kuwaweka Roho juu ) hawa Watani zangu / zetu Yanga SC.
Na tarehe 18 uje kama ulivyo kuja leo maana hamkawii kujificha baada ya matokeo, pia mnateseka sana lakini mwamba ndiyo hivyo anazidi kupepea ila nisiwe msemaji sana nawashauri tu lipeni madeni na posho za wachezaji wenu ili msimu ujao mfike hata alipo fika yangaTuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
KENGE ni Mamaako na si Mimi uliyeniita hivyo.tunakukumbusha yanga alishashinda ugenini KENGE wewe
Yanga atafungwa Goli 3 kwa 0 au 4 kwa 1 huko Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC tarehe 17 May, 2023 na Kutolewa kabisa. Niamini na tunza hii Post yangu tafadhali.Sema Nabi akipanga kile kikosi chake cha kuzuia anaweza akala hata mkono ila akiweka Lomalisa,Sure Boy,Abbas,Moroko,Musonda na Mayele wanakufa kwao hao Marumo shida makocha wetu hawajui wafanye nini mpaka waone mechi hawa jamaa wapo vizuri sana kiungo harafu anawaweka watu wa kupiga pass ndefu na kukimbia hiyo kitu haipo hawa wadogo ni wepesi sana kuliko sisi...
Wewe kenge lazima tu una kaukike fulani. Una misemo ya kiswaz swaz. Kidemu demu. Au labda unatimiza ile hali ya wanaume wa ......
Ile Marumo iliyowatoa USM algersna Akhdar siyo hii ya sasa mchele mchele, Marumo atapigwa nje ndani. Na kwenye fainali wale wajinga iwe USM Algers au Asec Sambusas yanga ni kama atakuwa anasukuma mlevi tu. Kombe la losers LAZIMAAA litatinga Jangwani mwaka huu.Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.
Wenye akili tunajua Yanga SC ameshatoka tayari katika hatua hii ya Nusu Fainali ya CAFCC kwani hata afanyeje hawezi kutoka Afrika Kusini wiki ijayo.
Kudadadeki.
ANGALIZO: Kwa wewe (kisokolokwinyo (muwashwaji muwashwaji) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na mada zake/Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali tusichoshane na acha kabisa kusoma na hata kuchangia bali watafute Members wengine unaowaona ni bora kwako na unawakubali kuliko mimi.
Nimemaliza.
Umepaniki broo. Wewe sio mtu wa mpira ila ni shabiki NaziTuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa Rushwa GSM Premier League yetu.