Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

Umeniwah mkuu yan nikionaga post zake najiuliza uju ni mwanaume au ??
Yaani kama mwanamke mwanamke tu maneno yake. Lazima kuna shida fulani kwa huyu binadamu. Kwa sisi wenye kuunga dot zile za Mossad kwa jinsi alivyo na wafuasi wengi unajua tu hapo kuna jambo
 
Una s

Una shida
 
"Dua la kuku halimpati mwewe."Mwewe huwapitia vifaranga tu pasi na taabu yoyote na kuwapelekea wanae huku akiahidi kuwamaliza vifaranga wote wa mama kuku.

Hiyo timu wasukuma wanaiita MALOMO GA MBITI ambayo ni aina fulani ya mpunga , imekwisha umaliza mwendo kama wazee wa kufa kiume.
 
Yanga atafungwa Goli 3 kwa 0 au 4 kwa 1 huko Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC tarehe 17 May, 2023 na Kutolewa kabisa. Niamini na tunza hii Post yangu tafadhali.
Hakuna Timu pale mkuu wataingia kwa kushambulia ili wapate magoli kama Yanga wakijaza kiungo watafungwa na kwao hizo tarehe ilitakiwa niwe huo mji naona ratiba zinabana ningekutumia picha za magoli ya Yanga Live...
 
So what we makolo!!!
 
Unajisikiaje sasa?
Sijui nikuite kenge au popo?
 
Habari mkuu, unasemaje kuhusu match ya Yanga VS US Alger?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…