Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
I
Ila haifuti ukweli kuwa mtabutuliwa1. Simba washapiga BILIONI 5 ZA SUPER LEAGUE.
2. Simba inawakilisha TAIFA kwenye Super league
3. Marais WA Fifa na CAF watakuja Tanzania kwaajili ya ufunguzi WA mashindano ya super League.
4. KUTANGAZA vivutio vya Utalii ndani ya nchi.
5. Kukarabatiwa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa.
UTOPOLO MAPUMBAFU SANA.
WENYE AKILI NI WAWILI TU.