Tunakumbushana tu! Hakuna pointi ni mtoano tu!

I
Ila haifuti ukweli kuwa mtabutuliwa
 
Hii kitu ni maumivu sana kwa YANGA, asikwambie mtu..

Hii LEAGUE itafifisha ACL..
 
Nashangaa kuna watu litimu lao halishiriki still haiwaumi wako comfortable kabisa.
 
Kwani nyie mpo huku???huku kwa wakubwa tu
 
Kuandika kwako tu shida. Vp humo kichwan?
 
Narudia tena, hakuna makundi ni mtoano mpaka mwisho!!
Na ni timu nane tu Afrika, hivyo mashabiki wa timu nyingine ambazo hazimo hawapaswi kufuatilia na kutoa comments. Inawezekana timu nyingine zimejisahau zinadhani na zenyewe zimo, ni vizuri ukaweka orodha ya timu nane bora hapa zitakazoshiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…