LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
ndiye Bosi wa Lumumba buku 7...shauri yako!Tumuombee kwani yeye anajiombea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiye Bosi wa Lumumba buku 7...shauri yako!Tumuombee kwani yeye anajiombea?
Mwacheni apumzike na social media nazo zipumue...akipata bedrest hadi mwakani labda akitoka ataanza kuehave like 60'sView attachment 1088949
Pichani ni Mwanamuziki Diamond Platnumz akimfariji Mfalme wa Social Media , Le Mutuz Nation .
Wito kwa wana jf wenzangu tumuombee rafiki yetu huyu
Naomba kuwasilisha
Duh !!!Naomba afe hata kesho ... Mnafiki ukimuombea uhai unapata dhambi
hivi alitoaga pole kwa TL huyu kweli?View attachment 1088949
Pichani ni Mwanamuziki Diamond Platnumz akimfariji Mfalme wa Social Media , Le Mutuz Nation .
Wito kwa wana jf wenzangu tumuombee rafiki yetu huyu
Naomba kuwasilisha
Mwambie kwanza kichaa wa chama chenu maana yeye ndio kutwa anaomba kuombewa.Tumuombee kwani yeye anajiombea?
Ohooooo !!!!Kageuza ugonjwa mtaji huyo [emoji23]
Ova
Siku hizi nikujiombea mkuu hakuna kuombewa ccm oyeeView attachment 1088949
Pichani ni Mwanamuziki Diamond Platnumz akimfariji Mfalme wa Social Media , Le Mutuz Nation .
Wito kwa wana jf wenzangu tumuombee rafiki yetu huyu
Naomba kuwasilisha
Hivi atakuwa ana umri gani ?Mange kasema ana Kibamia cha Taifa.
King of Bongo Social Media ha ha ha kama hautaki Kufwa for meKwani anajishughulishana nini kinachochangia pato la taifa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mzee haitaji pole ya maneno anataka pesa akanywee gongo