Tunakuomba Mungu umponye Le Mutuz , arudi tena kwenye shughuli zake kama siku zote , Amina

Le kuumwaz you know....too much AC imesababishwa nipate ugonjwa wa kizungu you know!!
 
halafu mimi simuelewagi huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka anakuwa maarufu hivi halafu sikujua kumbe ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu mzee malecela ana dili gai huyu jamaa mjini hapa?
 
Huyu anaandaliwa kuchukua nafasi ya uenyekiti wa chama tawala.
 
halafu mimi simuelewagi huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka anakuwa maarufu hivi halafu sikujua kumbe ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu mzee malecela ana dili gai huyu jamaa mjini hapa?
Ni msaidizi binafsi wa Makonda
 
Me mobimba nyenyenye ze akili kubwazzz you know get well soon bro
 
Masikini hana hata mtu wa kumuuguza! Ma kambo naona nae hali sio njema
 
Hivi anasumbuliwa na nini? Ni muda sasa toka nimesikia yuko Hospitali

Pole kwake..!
Huoni yuko JKCI? Wanaendaga wenye matatizo ya Moyo tu hapo. Get well soon Le Mutuz.
 
Back
Top Bottom