Tunakupongeza Sheikh Mwaipopo kwa uzalendo wako dhidi ya wavunjifu wa amani nchini

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
 
Wewe mpumbavu nini? Toka lini maandamano yakawa uhalifu?
 
Watu wote wanaomtetea samia na selikali yake Haramu nime wa Ignore Ulikuwa unebaki peke yako. Mimi huwa sina Muda wa kusoma Upumbavu.

1. Samia Ameingia Madarakani kwa Mtutu wa Bunduki na kuua vijana wa Kitanzania
Mikono yake inanuka Damu.

2. Hao machawa wengi wanalipwa na CCM ili waje waitetee selikali hapa Jf.
samia Aliifungia Jamii Forum.

3. Hao wapumbavu Samia anywa maji wanapiga Makofi, akikohoa Makofi, Akilia Makofi akipokea Riport ya Mauaji Makofi.

UMELAANIWA NAKU IGNORE NA BLOCK JUU
 
Unawezaje kuvuka barabara?
 
Sawa Lucy Mikael
 
Kwani Shekh amewataja wauaji wa oct29 ama amewakemea ama amewalaani naona anapewa tano tu halafu sijaujua mchango wa kizalendo wa Shekh ni upi?Ama ikiwa amewataja mafisadi au kutaka haki itendeke tuambiwe ili tu mwoombe maisha marefu na thawabu hapa duniani na akhera.
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Safi kabisa hata Pole pole katibu mwenezi aliyekuwa namba tatu ya Magu ameshughulikiwa wao ni kinani bana

Hata shekh majini aliyekuwa chawa mwenzenu alishughulikiwa pia

Waache taharuki au sio kubwa jinga big show ?
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Watu wote wanaomtetea samia na selikali yake Haramu nime wa Ignore Ulikuwa unebaki peke yako. Mimi huwa sina Muda wa kusoma Upumbavu.

1. Samia Ameingia Madarakani kwa Mtutu wa Bunduki na kuua vijana wa Kitanzania
Mikono yake inanuka Damu.

2. Hao machawa wengi wanalipwa na CCM ili waje waitetee selikali hapa Jf.
samia Aliifungia Jamii Forum.

3. Hao wapumbavu Samia anywa maji wanapiga Makofi, akikohoa Makofi, Akilia Makofi akipokea Riport ya Mauaji Makofi.

UMELAANIWA NAKU IGNORE NA BLOCK JUU
Sasa naelewa kwanini unawachukia MACHAWA
 
Sio kazi ya viongozi wa dini , ni kazi ya viongozi wa serikali na wanalipwa.
 
Watu wote wanaomtetea samia na selikali yake Haramu nime wa Ignore Ulikuwa unebaki peke yako. Mimi huwa sina Muda wa kusoma Upumbavu.

1. Samia Ameingia Madarakani kwa Mtutu wa Bunduki na kuua vijana wa Kitanzania
Mikono yake inanuka Damu.

2. Hao machawa wengi wanalipwa na CCM ili waje waitetee selikali hapa Jf.
samia Aliifungia Jamii Forum.

3. Hao wapumbavu Samia anywa maji wanapiga Makofi, akikohoa Makofi, Akilia Makofi akipokea Riport ya Mauaji Makofi.

UMELAANIWA NAKU IGNORE NA BLOCK JUU

Fanyeni hima mje tunawasubiri
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
THE BIG SHOW wewe ni mdini ile mbaya. Endeleeni kushangilia kuuwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom