Tunakupongeza Sheikh Mwaipopo kwa uzalendo wako dhidi ya wavunjifu wa amani nchini

Dawa ya vichaaa ndio iyooo 💥💥💥

Mnataka tuwekewe vikwazo
tukasema sawa👈

mkasikia tunawekewa vikwazo mnafanya sherehe kubwa kwenu tukasema sawa pia 👈

Sasa mkaona sisi wazuzu mnataka tena kutuchomea miundombinu yetu napo mnadhani tutasema sawa!!!

Anzeni kuchoma uko uko kwa Baba zenu WAZUNGU kisha tuone waseme sawa👈
Tz mjiandae kulipia garama kubwa sana hatucheki na kima yoyote kutokea pande yoyote sauti ya mbwa yoyote💀☠️

Sisi WAZALENDO tunalipa kodi kuijenga nchi yetu 👈

hatutegemei tena MAZUNGU yenu ya Usodoma!!

Kama mmetumwa na Wazungu Mashoga mtajutia kinoma!

Tupo tayali kuwekewa vikwazo✅️

Lkn hatupo tayali kuaribiwa miundombinu yetu Tanzania❌️
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
******* baridi,majambazi,magaidi na wauaji mnapongezana.******* mwili mzima,pumbaff ninyi!
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
No offense kwa mndset hizi ndio maana nchi zingine zinawaona threat kwa ustawi wa jamii zao, na kuwapa majina yasiyo mazuri
 
Wahalifu na wezi wasipewe nafasi nchini
20260410_153600.jpg
Hawa mbona mmewapa nafasi au kuna Tanzania ya angani siku hizi?
 
Kabisa wametoka kushangiliq kuwekewa vikwazo sasa wamekuja kutuvunjia kile kidogo tunacho❌️

Wajiandae kuita yoyote muaji lkn watakoma kinoma ☠️💀
Ubarikiwe mzalendo mwenye akili
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Wewe lazima umtetee MUHUNI mwenzako kwasababu ni dini yako....Wakati unapinga gesi isitoke mtwara mbona ulivunja utaratibu mlifanya vurugu?
 
Washachukuliwa hatua stahiki hap, serikali ya mama Samia haina masihar kwenye fedha za umma
Hatua gani?

Watu wameiba pesa za umma mbona wizi umeonyeshwa kwa umma hatua walizochukuliwa hazionyeshwi kwa umma?

Au hatua ndio ile ya kuzomewa waone aibu.
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
🚮🚮🚮🚮
 
Mimi nafikiri badala ya serikali ya CCM kulalamika,kwa kuwa Bunge ni la CCM, serikali ingepeleka mswada Bungeni wa kurekebisha Katiba ili kufuta rasmi kipengele kinachoruhusu maandamano.
Sasa hata hilo linawashinda?
 
Akili kama hizi ni hatari kwa mustakabali wa taifa lenye afya na uchumi imara...

Too bad😔
 
Hatua gani?

Watu wameiba pesa za umma mbona wizi umeonyeshwa kwa umma hatua walizochukuliwa hazionyeshwi kwa umma?

Au hatua ndio ile ya kuzomewa waone aibu.
Washafikishwa mahakamni mkuu, labda huwa hufuatilii, nenda mahakamni kaulizie!!
 
Mahakama ipi wamefikishwa?

Weka hapa link yenye reference ya kesi yao.

Sihitaji kuuliza kwa mtu hilo ni jambo la umma linatakiwa kuwa wazi sote tuone kama document ya wizi waliofanya.
 
Back
Top Bottom