Tunakupongeza Sheikh Mwaipopo kwa uzalendo wako dhidi ya wavunjifu wa amani nchini

Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
ccm na chedema sijui kama mtakuja kupatana. lakini kama tukifuata sheria hakuna kinachoweza kushindikana
 
Mahakama ipi wamefikishwa?

Weka hapa link yenye reference ya kesi yao.

Sihitaji kuuliza kwa mtu hilo ni jambo la umma linatakiwa kuwa wazi sote tuone kama document ya wizi waliofanya.
Wapi nimekuambia kaulizie kwa mtu? Nimekuambia kaulizie mahakamani ambapo wamefikishwa
 
Wewe ndio uliyesema hao watu walichukuliwa hatua sasa nakuuliza tena weka hapa uthibitisho wa maandishi walichukuliwa hatua zipi.

Umeruka ukasema wapo mahakamani , mahakama iko na mfumo wa digital sasa weka hapa link ya hiyo kesi wote tuone , hiyo kwako ni ngumu?
 
Friends and Our Enemies,

Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.

Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.

Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.

Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.

Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.

Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
We matako kabisa
 
Juzi ndio jamaa yangu ananiambia "yale uliyokuwa unaniambia kila siku hawa kina sule, mwaipopo mazinge, sheikh miichael na wenginro ni wajanja wajanja, wachumia tumbo, kina mwamposa wa uislam, nilikuwa nabisha, ila sasa nimeanza kukuelewa kaka"
 
Back
Top Bottom