******* baridi,majambazi,magaidi na wauaji mnapongezana.******* mwili mzima,pumbaff ninyi!Friends and Our Enemies,
Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.
Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.
Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.
Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.
Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Wahalifu na wezi wasipewe nafasi nchini
No offense kwa mndset hizi ndio maana nchi zingine zinawaona threat kwa ustawi wa jamii zao, na kuwapa majina yasiyo mazuriFriends and Our Enemies,
Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.
Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.
Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.
Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.
Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Kwa akili zake huyo,si ajabu ni "THE BIG FOOD" ,ya wakubwa.Ana akili nyembamba kuliko ushuzi wa ngedere.Nilitaka kushangaa hadi sasa uwe hujapandisha bandiko kuhusu Mwaipopo baada ya muda mrefu kupotea humu.
Awamu hii umelipwa kiasi gani THE BIG FOOL.
... ulinzi wa nchi yetu ni jukumu la kila mtanzania mzalendo ............................... Mwalimu.Kwani kuwasaidia kuna ubaya gan
Wahalifu na wezi wasipewe nafasi nchini
Ubarikiwe mzalendo mwenye akiliKabisa wametoka kushangiliq kuwekewa vikwazo sasa wamekuja kutuvunjia kile kidogo tunachoโ๏ธ
Wajiandae kuita yoyote muaji lkn watakoma kinoma โ ๏ธ๐
Washachukuliwa hatua stahiki hap, serikali ya mama Samia haina masihar kwenye fedha za ummaView attachment 3614091Hawa mbona mmewapa nafasi au kuna Tanzania ya angani siku hizi?
Wewe lazima umtetee MUHUNI mwenzako kwasababu ni dini yako....Wakati unapinga gesi isitoke mtwara mbona ulivunja utaratibu mlifanya vurugu?Friends and Our Enemies,
Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.
Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.
Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.
Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.
Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Hatua gani?Washachukuliwa hatua stahiki hap, serikali ya mama Samia haina masihar kwenye fedha za umma
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎFriends and Our Enemies,
Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu.
Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya kipindi cha uchaguzi wakaachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua.
Tukikukumbuka tulikotoka wachochezi walianza uchochezi wao huku jamii ikiwakalia kimya mwisho wa siku majuto yakawa ni mjukuu.
Hatuskii wanaharakati wa haki za binadamu kukemea hao wahalifu,hatuskii makanisa yakikemea na hatuskii jumuiya ya kimataifa ikikemea wahalifu hawa.
Wanasubiria waanzishe vurugu serikali ikiwachukulia waje kutoa lawama kuwa wamechukuliwa hatua zilizopita mipaka.
Hongera sana mwaipopo,tunakuunga mkono na hao wahalifu wakae wakijua kwamba safari hii dawa yao imepatikana.
Kuua watu inaruhusiwa kwa kobaz! Jinga sana hawaWe kobazi achaga ushenzi, watu wakiuliwa utapata faida gani?
Washafikishwa mahakamni mkuu, labda huwa hufuatilii, nenda mahakamni kaulizie!!Hatua gani?
Watu wameiba pesa za umma mbona wizi umeonyeshwa kwa umma hatua walizochukuliwa hazionyeshwi kwa umma?
Au hatua ndio ile ya kuzomewa waone aibu.
Mahakama ipi wamefikishwa?Washafikishwa mahakamni mkuu, labda huwa hufuatilii, nenda mahakamni kaulizie!!