Tunakupongeza Sheikh Mwaipopo kwa uzalendo wako dhidi ya wavunjifu wa amani nchini

ccm na chedema sijui kama mtakuja kupatana. lakini kama tukifuata sheria hakuna kinachoweza kushindikana
 
Mahakama ipi wamefikishwa?

Weka hapa link yenye reference ya kesi yao.

Sihitaji kuuliza kwa mtu hilo ni jambo la umma linatakiwa kuwa wazi sote tuone kama document ya wizi waliofanya.
Wapi nimekuambia kaulizie kwa mtu? Nimekuambia kaulizie mahakamani ambapo wamefikishwa
 
Wapi nimekuambia kaulizie kwa mtu? Nimekuambia kaulizie mahakamani ambapo wamefikishwa
Wewe ndio uliyesema hao watu walichukuliwa hatua sasa nakuuliza tena weka hapa uthibitisho wa maandishi walichukuliwa hatua zipi.

Umeruka ukasema wapo mahakamani , mahakama iko na mfumo wa digital sasa weka hapa link ya hiyo kesi wote tuone , hiyo kwako ni ngumu?
 
We matako kabisa
 
Juzi ndio jamaa yangu ananiambia "yale uliyokuwa unaniambia kila siku hawa kina sule, mwaipopo mazinge, sheikh miichael na wenginro ni wajanja wajanja, wachumia tumbo, kina mwamposa wa uislam, nilikuwa nabisha, ila sasa nimeanza kukuelewa kaka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…