Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

images - 2021-11-22T190931.042.jpeg

Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984
Wa-Malawi wanajielewa kitambo
 
Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
 
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984
Zikomo
 
Kiwango chetu cha upumbavu kimeenda juu ghafla, watu wanakuja na hoja za kitoto. Unafikiri kwenda International ndio kutengeneza profit? See how big is our country, compare it with Malawi halafu tafakari upumbavu wako.
 
We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn? Ukinunua ndege ili usafiri Domestic?
 
Daah umekazia na kimalkia lakini wapi ingekua international route hazina faida basi mashirika makubwa yasingekuja Afrika..na ukiona Shirika la ndege mfano Ethiopian airline wameweza kufika maeneo mengi ya Dunia hii jua kiwango cha faida na ukuaji wa shirika ni tofauti na wanaobeba abiria wa ndani tuu..
 
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984
Mkuu destinations zingine tunadaiwa, twiga hawezi tua Jo'berg bondeni kwani kuna mzungu wa mashamba kule

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn?
We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn? Ukinunua ndege ili usafiri Domestic?
Nimeshindwa kumjibu maana amesema wapumbavu tupo wengi!!

Ila nikunong'oneze tu, ukishakuwa na fleets za dreamliner 787 the only way to make profit is to go international. Wataalam wanasema angalau uruke masaa 13 kwa siku ,mfano Quantas dreamliber 787 ina route ya masaa 19 angani non stop.
Kama ni kweli tumenunua dreamliner kwa sababu ya local routes, ni sawa kabisa ma mtu anunue basi la yutong kwa safari za ubungo posta.
 
Back
Top Bottom