connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Wa-Malawi wanajielewa kitamboWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje UngujaWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
mwendazake alikuwa ni NTU WA DILICAG alisema ndege hizo zilinunuliwa bila hata kua na Business plan.
Nadhani kulikua na mgao wao kwny ununuzi wa hizo ndege,na lengo halikua kufanya biashara.
ZikomoWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Huko sio kwakwenda mkuu, tutafute chimbo jingineMalawi wamekosa "maua" aisee. Ukishuka Lilongwe hamna wezere kabisa kitaa.
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn? Ukinunua ndege ili usafiri Domestic?Kiwango chetu cha upumbavu kimeenda juu ghafla, watu wanakuja na hoja za kitoto. Unafikiri kwenda International ndio kutengeneza profit? See how big is our country, compare it with Malawi halafu tafakari upumbavu wako.
ApiaWatakuja kukuambia lengo ni kutoa huduma sio kufanya biashara nakuambia
Kabisa mkuuApia
Daah umekazia na kimalkia lakini wapi ingekua international route hazina faida basi mashirika makubwa yasingekuja Afrika..na ukiona Shirika la ndege mfano Ethiopian airline wameweza kufika maeneo mengi ya Dunia hii jua kiwango cha faida na ukuaji wa shirika ni tofauti na wanaobeba abiria wa ndani tuu..Kiwango chetu cha upumbavu kimeenda juu ghafla, watu wanakuja na hoja za kitoto. Unafikiri kwenda International ndio kutengeneza profit? See how big is our country, compare it with Malawi halafu tafakari upumbavu wako.
Mkuu destinations zingine tunadaiwa, twiga hawezi tua Jo'berg bondeni kwani kuna mzungu wa mashamba kuleWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn?
Nimeshindwa kumjibu maana amesema wapumbavu tupo wengi!!We nae unaongea kama Kada? Sasa ndege 11 unang'ang'ana na Domestic ya nn? Ukinunua ndege ili usafiri Domestic?