Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Yani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Inasikitisha sana.......
as if nchi haina watu ni hao hao tu!!
 
Yule katili ilikuwa lazima afe tu no way
 
Kwa hiyo mkuu hata wewe ukifa ni allah amekuchukua sababu ya unyama wako? Mbona huna akili kiasi hicho? Huyo allah na yeye atakua taahira.
Allah si ndo alimtokea pangoni huyo mtume wao akampiga mabanzi! Kwa hiyo Allah huwa anaua watu maana unasema hata Magufuli aliuliwa na Allah!
 
Angalia nani kamteua,naaliye mteua alishapitia wapi,mambo mengine ni vifuta machozi vya watu utahangaika na kujiuliza maswali mengi ya bure
 
Allah si ndo alimtokea pangoni huyo mtume wao akampiga mabanzi! Kwa hiyo Allah huwa anaua watu maana unasema hata Magufuli aliuliwa na Allah!
Waumini wa allah wengi madishi yameyumba. Zero brain maana huwezi kua na akili timamu ukaamini hicho kiumbe chao. Na wanayokisifi sasa😂😂 hadi inasikitisha.
 
Acha kumlinganisha Yesu Kristo na marehemu.

Jaribu kuheshimu imani yangu kidogo badi.
 
Tulia anaenda kuchuma tena
 
Wacha kupotosha lini Gachuma akikamatwa
 
Bongo yetu hii, ukizaliwa kwenye umasikini kutoka humo ni mpaka mtu wa kwenye system akupe ABC...

MJINI KILA KITU NI MAELEKEZO.

Kuna wakati tuache kulalamika sana baadala yake tucheze na opportunities hata kama sisi ni wa uswazi tutapenya tu....Ndama mtoto wa ng'ombe, Papaa Msofe, Shikuba, Chonji, Hussein pamba kali, niki wa pili, nk nk hawa wote ni wa uswazi ambao waliamua kupambana kivyao gizani, mwangani, halali, haramu nk leo hii nao ni watu....

Duniani kote hakuna connection na michongo ipo tu, tofauti yao na sisi ni wao kutengeneza mifumo rahisi ya kuishi kwa watu wao...Sasa sisi hio mifumo hatuna, tulale tusubiri CCM itoke hapana ni kuminyana nao tu mwanzo mwisho hata ukiweza kufanya mapinduzi wewe fanya tu uwe Rais kwa namna yako.... Leo hii Haji Manara naye mtu katika watu anatambulika juu mpaka chini...JIKOMBOE...
 
Mkuu nadhani unapotosha kwa makusudi au unamchanganya Mzee Gachuma na mtu mwingine.
huyu mzee ni Mjumbe Halmashauri kuu CCM Taifa na ni mmoja ya wajumbe wa baraza la wadhamini wa CCM lililoundwa na hayati.
hajawahi kufungwa awamu ya 5
 
Awamu ya 5 kilikuwa kipindi cha giza. Huwezi kumhukumu yeyote, kwa kuzingatia mtu huyo alionekana namna gani awamu ya 5. Awamunya 5 ulikuwa ni uongozi wa kinyama. Tulipoteza muda, tunatakiwa kuanza upya. Samia anapokosea sana ni kubeba uozo wa awamu ya 5 katika baadhi ya mambo ya kijinga kabisa kama kubambikia watu kesi.
 
Wameshasahau enzi za CCM ya Kikwete, wanachama kuzomewa na magwanda yao.
JPM kairudisha heshima,wanaona watafanikiwa tu huko mbele!.
Badala ya kuweka watu wasiona na tuhuma,wanawarudisha akina Msechu,Yule jamaa wa NBC wote wamewekwa TANESCO.
Jueni kila kitu kina mwisho.
 

Akili zako ndipo zilipoishia.
Huwazi hata nje box
 
Nafasi 5 za kurugenzi Tanesco zipo wazi, zinasubiri Makamba aweke watu wake, so tutegemee wahalifu zaidi
mhalifu ni aliyehukumiwa kifungo jela na mahakama zaidi ya hapo sio mhalifu ni uonevuvwa awamu iliyopita kutumia polisi kubambikia kesi siziso na kichwa wala miguu,hushangai upelelezi kuchukua miaka minne baadaye mtu anaachiwa. Ilikuwa awamu ya kijambazi ya kutaka fedha za wenye nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…