Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Hata Mie kumbukumbu zangu zinasema alikaa sero muda mrefu Sana leo si anapewa fadhila huyo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
WAHARIFU wote wa AWAMU ya 5 WANARAMBA TEUZI
CCM OYEE
 
Aisee, connection mkuu
 
Tanzania kuna vijana wengi tu wasomi na wenye kujua mambo mengi ya kufanya katika nchi yao ila ninashangaa kila siku wanaletwa watu wenye tuhuma, sijui hata kama kuna vetting zinafanyika kupata viongozi kwenye mashirika ya umma kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi na wanachi kwa ujumla
 
Unamjua Gachuma au umeandika ukijua kila tajiri awamu ya tano alikua mhalifu.
Gachuma hana rekodi ya kukamatwa au umemfananisha na Zakaria ?
 
Reactions: Ilu
Unamjua Gachuma au umeandika ukijua kila tajiri awamu ya tano alikua mhalifu.
Gachuma hana rekodi ya kukamatwa au umemfananisha na Zakaria ?
Hata mimi nahisi amemfananisha na Zakaria. Sijawahi sikia Gachuma amewekwa ndani. Aliyekaa muda mrefu ndani ni Zakaria na mkewe kwa kesi ya ML.
 
Magufuli leo hii akiambiwa aorodheshe magaidi hapa nchini hakika ataanza na jina la aliyekuwa makamu wake wa Rais
 
Yani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Mnafikiri wale wanaojilipua kule Somalia na Afghanstan wanapenda , kuna mambo ya hovyo kama haya ya Tanzania huwa yanachangia watu wajitoe muhanga. Ni vile tu watz wamezoea kupelekwa pelekwa na uvumilivu wao wa kiboya boya.
 
Huoti, you just imagine..Lets wait and see!
I see the red sea coming to its reality; unabii unatimilika just like this...Lets watch and see; those who know where their power is are like mountains, never moved!

Lalalaaa, what did I say in 2012...Kuna watu hawajifunzi eeh? The power hand is changed...You just chasing wind and from where you never know shall blow you off, do I sound like am just warning myself!
 
Mnafikiri wale wanaojilipua kule Somalia na Afghanstan wanapenda , kuna mambo ya hovyo kama haya ya Tanzania huwa yanachangia watu wajitoe muhanga. Ni vile tu watz wamezoea kupelekwa pelekwa na uvumilivu wao wa kiboya boya.
Matatizo yenu ya ajira yanawapeleka kukosa kuwa rational...I wish kama mngetambua nchi yenu inawahitaji zaidi kuliko kwenye kutafuta ajira...Kwhiyo hapa ninyi watoto wetu mnafikiria tu kwamba ungepata ajira basi maisha yamekuwa sawa?

Ajira ni pamoja na nchi kuwa at peace, kuweka mifumo thabiti na kujielewa kwamba hakuna mjomba duniani kila kitu kinaliwa kwa jasho, get it!
 
Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Mkuu mbona zikumbuki kama huyu jamaa alikamatwa na kufikishwa mahakamai na ukizingatia alikuwa mbunge? Hebu tukumbushe alikamatwa lini? na kwa tuhuma zipi? isije kuwa unachanganya na Zacharia mkuu?
 
Sawa mjuba , nimekumanya halafu kwa comment yako nakufila mpaka kumoyo
 
Ndio jibu lake, legacy ya Mwendawazimu ilikua ya kijambazi jambazi ni legacy HARAMU.
Wewe ni masikini wa kipato na akili pia!

Hao unaowatetea wana mabilioni somewhere ambayo walikupora wewe tangu enzi hizo!

Magufuli na familia yake hakuna hata mmoja atakae u ia kwa ufisadi wa hao unaowatetea hapa. Atakaeumia na bibi na babu zako kule kijijini kwenu.
 
Lala JPM wetu lala umetuachia mateso na maumivu Taifa linaangamia
 
Gachuma alituhumiwa kwa kesi gani na kunyimwa dhamana?
 
Umesahau na Felsechim Mramba! Huyu naye alitumbuliwa na Magu na kuletwa huyu aliyetumbuliwa na Hangaya. Tanzania haya mambo ni ya kawaida. Nobody takes record. Ni just kitenda cha kuota au kuambiwa na wapambe afu kesho ukafanya uteuzi. Afu CV huwa haziangaliwi, mtu akisharipoti kazini ndio CV zinaangaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…