Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza


Proof by counterexample annuls hypothesis. Scientific fact. Basta! Kiswahili chake sijui.

Ukinyofolewa kanyama kadogo ili vision yako ifunguke na ukubaliane na ukweli kwamba kujikita kwa boksi la MAMBO YA UKABILA ni UPUUZI uliopitiliza na kwamba kanyama hakohako kakinyofolewa kwa Mwafrika mwingine kutoka Burkina Faso na kuwekwa pamoja haitaweza kutofautisha kile cha nani na hiki cha nani itoshe kukumbushia kwamba UKABILA wowote ule hauna NAFASI karne hii. Rejea pia kauli za Mwalimu (RIP Baba). Ati zamu yetu sasa! Supersillious tena.
 
Ngoja na mimi nigombee uRais nijenge kijijini kwanguHospital ya Rufaa,Tawi la UDSM,International airport,Ikulu ndogo lakini kubwa kuliko ile ya magogoni nahamishia na tausi wote wa magogoni Ikulu ndogo,Makao makuu ya kanda kijijini kwangu,...........

Hakuna kulalamika kwasababu vitu vyote vitakuwa vimejengwa Tanzania.
 
Kwa vyovyote vile utakavyotetea awamu ya tano imevunja rekodi. Kila idara, kila wizara, kila ofisi. Kwa bahati mbaya wote ni waimba mapambio, wasanii hata nyumba za makazi za mwanza geita zisibomolewe za dar moro zibomolewe, biashara za machinga mwanza wapange hata barabarani si ribarabara rao, wa dar waaondolewe tuweke jiji safi/ katika mpango mzuri
 
Message sent......................asante sana mkuu
 
Wearing a mask is gravely dangerous because it makes you pretend to be. What is being discussed is the chronic problem of Tanzania, in fact of Africa. No single tribal grouping can claim to be developed plus educated to being above this problem. Persistent denial of such problem is another evidence of corroded mind. Once, Alan moor said when you wear a mask for so long, you forget who you were beneath it.

I am not expecting any positive comments from a person whose life has probably accelerated or, he is wishing to accelerate through such foolish vehicle.
 

Such gross ethnocentric perspective by virtue of ones percieved "thickness" is probably culpable for such generalisations as this, and I quote, " No single tribal grouping can claim to be developed plus educated to being above this problem" Ha ha ha ! You probably have the statistic. Very daft!
 
Naona kama unashindana na watu hapa. Calm down! Better comprehension needs settled mind. Why all these typos and language misuse? Tulia tulia tulia!

Masahihisho: Such gross ethnocentric perspective by virtue of ones ones' percieved perceived "thickness" is probably culpable for such generalisations as like this, and I quote, " No single tribal grouping can claim to be developed plus educated to being above this problem" Ha ha ha ! You probably have the statistic .......... Very daft!

Ni matatizo ya siku nyingi mkuu. Hebu click thrds hizo chini.


 
Hata malaria ilianza zamani lakini hatujaacha kupambana nayo. Wrong is just that, wrong!
 
Hata malaria ilianza zamani lakini hatujaacha kupambana nayo. Wrong is just that, wrong!
Is this different from what appears in the thrd? Tunasema, tulaani wote na wale wote walioonyesgha upendeleo tangu mwanza wa Tanganyika na Tanzania. Kuna watu sasa hivi ni kelele kubwa kuliko tulivyotegemea utadhani ni jambo jipya! Na siyo kwamba wao wamekoma, wanatafuta nafasi kufanya hayo hayo!
 
Hizo laana zikurudie wewe mwenyewe
 
Pumbavu zako
 
hata ww ukiwa na mafanikio lazima ujenge kwenu,usipojenga utakuwa kilaza mkubwa.tatizo lenu wapinzani sasa mmeishiwa sela hacha muisome number tuuuh ila JPM muache ahijenge na kuinyosha nchi kwa sasa.
 
Wewe wacha uongo. Msikiti upi huo ulijengwa eneo la wazi wakati wa Mwinyi? Na miradi ipi ya "mafuta" aliyowapa Waislam?

Badala ya kuhoji kwa nini makanisa yanahodhi ardhi kubwa baada ya serikali Tanzania hii unaleta uongo.
 
hamna na wala haitakaa itokee wakabila na wakanda wakuu katika nchi hii kama wasukuma! magufuli amepanda mbegu mbaya, ya akina elinawinga na msuya hapa unajenga hisia zaidi, mbona huko mwanga kuna maeneo mengi tu tena bara bara za wilaya na tan rod hazina lami, mbona maeneo mengi tu hayana umeme? tene hukohuko kwa msuya na elinawinga. KUSOMA KWA WACHAGA NI MWAMKO WA ELIMU WALIOKUWA NAO TANGU ENZI! SHULE ZA PRIVATE PEKEE KATIKA MKOA HUU NI NYINGI SANA NA NDIYO KIMBILIO LA WATANZANIA WENGINE SASA!
 
Wewe wacha uongo. Msikiti upi huo ulijengwa eneo la wazi wakati wa Mwinyi? Na miradi ipi ya "mafuta" aliyowapa Waislam?

Badala ya kuhoji kwa nini makanisa yanahodhi ardhi kubwa baada ya serikali Tanzania hii unaleta uongo.
kidumu chama cha mapinduzi
 
..Uwanja wa ndege wa Chato wananchi wa kule hawana matumizi nao na wala hawauhitaji.

..katika mazingira hayo kwanini mnamlaumu JPM kuwa anapendelea wananchi wa Chato?
tunamlaumu kwa kutumia rasilimali na kodi zetu vibaya!
 
Mtu akipendelewa anasifa moja tu..anahisi ni haki yake..ndo maana kuna msemo...bata akinya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…