Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

..Uwanja wa ndege wa Chato wananchi wa kule hawana matumizi nao na wala hawauhitaji.

..katika mazingira hayo kwanini mnamlaumu JPM kuwa anapendelea wananchi wa Chato?
Mkuu una akili kubwa sana. I salute you bro, SHIKAMOO
 

Enzi za wahitimu wa shule za msingi kusoma nje ya mikoa yao ilikua ni sera ya serikali. Mimi nlipelekwa Kibaha miaka hiyo. Kwamba mji wa Moshi siyo rafiki kwa wafanyabiashara kabila zingine iko hivi. Kabla ya hapo dukawallas kama ilivo walikua jamaa wa kiesia na wagiriki wachache. Wengi walifungasha virago baada ya 1967 .... vijimambo vya ujamaa. Sasa kama kuna Mpogoro alieshindwa kununua biashara ya Muhindi pale Moshi sidhani! NA Mkinga je? Msukuma? Ni ugoro kufikiria kivingine. Hivi hawa Wachagga walienda shule gani kujifunza biashara, je wengineo walisomea wapi?
By the way Chifu Makwaia alihamia Moshi miaka ileee! Mkwe Mtemi huyu Hakafurumishwa!

Issues za ajira za kikabila .... very petty kwa hiyo silijibu.

Huwezi kupelekea bushman maendeleo ilihali hana clue hiyo maendeleo ni kitu gani arawa!
 
Anacho fanya ni kama anapaka rangi upepo time will tell! Huyo mjomba wako ana roho mbaya.
Wachaga waliposhika nafasi waljiifanya wao ndio competent wakati kozi zote za ndani na nje wanapeana wao wanaacha makabila mengine wakijijenga wao tu ili wengine waonekane useless .Kufikia 2020 wachaga wengi walio post za juu wanaowabeba wachaga wenzao watakuwa wamestaafu mfumo bebana wa kichaga utakuwa umedhibitiwa kwa kiasi kikubwa Kuurudisha itakuwa Sio rahisi tena
 
Haya ndio madhara ya shule za kata, analysis ya hovyo kabisa with no facts. Tuanze na Elinawinga kuhamishia wachagga kigoma ili wakasome, swali aliwatafutia na nyumba za kuishi huko? Au ni kwamba hawa walikua wafanyabiashara wamesambaa nchi nzima kwa hiyo mtoto akifeli kilimanjaro anaenda kwa ndugu kigoma au iringa kusaka elimu? Enzi hizo kila mkoa watu walikua wanarudia shule baada ya kufeli darasa la saba na kutumia majina mengine au kwa kifupi kubadili majina, hilo lilikuwepo kwa wahaya, wanyiramba etc etc. ukijifunza ku analyze issues objectively utajua kujenga hoja. Maendeleo ya wachagga hayakuanza baada ya uhuru bali yalikuaepo kutokana na mfumo wa u chief ukiokuwepo na pia by then zao la kahawa kuwa na bei nzuri na pia wazungu kukaa mkoa wa kilimnjaro na kuenea kwa dini ya ukristu. Kuhusu umeme kwenda Mwanga nenda leo kaangalie huo umeme migombani upo wapi? Nyerere aliwahi kusema ukitaka kuona maendeleo nenda kilimanjaro, ni kwasababu walianza kuendelea toka enzi ya ukoloni, kina Mzee Mbowe ndio waliomchangia mwalimu nauli kwenda UN. Kina Japheti Kiliro ndio wazee wa kimeru wa kwanza kuanza kudai uhuru na kina Chief Mareale. Mnaweza wachukia wachaga lakini ukweli utabaki ni wachapakazi na watafutaji, mimi sio mchagga ila nawaona wanavyowaza kutafuta pesa.
Wachagga hawajawahi toa Rais wala Waziri mkuu sasa upendeleo wao uko wapi?
 

Sasa huko Geita ndugu zake Magufuli wakiwaona WAZUNGU wana timua mbio na kujificha wakiogopa kuadhirika kwa Kiingereza..!!!
Wewe unafikri kwanini Rais wako Magufuli anakaribia kumaliza muhula wa kwanza bado hajakanyaga nchi hata moya ya Ulaya???Kiingereza bhana ni shiiiiida kwa Wasukuma...!!.

Williamson Diamond alipofika Mwadui Shinyanga akakuta wazee wa Kisukuma wanacheza BAO kwa kutumia ALMASI..!! Mzungu chapuchapu akaenda kununua GOLOLI(sparkling glass materials) akawaambia hizo ndizo zinawafaa na akakusanya madini yote ya Almasi akaondoka nayo....!! Ndiyo maana hadi leo Shinyanga, Mwanza na Geita bado ni Mikoa maskini pamoja na kuwa kwenye maeneo ya MADINI....na bado wazungu weusi wa CCM wamerithi yaleyale ya kina Dr. John Williamson kutoka Canada aliyewatapeli wazee wa Kisukuma...!!
 
🤣🤣🤣 unandoto za kimaskini sana mkuu kwahiyo ndiyo unavyo wapoza wanao wavumilie hadi 2020 wachaga wengi watakuwa wamestaafu!!? Ajira zitapatikana kwa wingi! Hahaah
 
History ya miaka ya nyuma siijui. Hawa jamaa kumbe walikuwa wanabebwa sana kipindi cha nyuma. Mpaka leo wanabebana lakini wanaboa.
 
Gombea urais na wewe ili ufanye hayo unayopendekeza
 
Kwa hiyo Magufuli anafanya ubaguzi kulipiza ubaguzi wa Wachagga?
 
sio vizuri,unagawanya watanzania tuanze kuchukiana na kuoneana vijicho kwa upendeleo wa wazi wazi, ni sawa na baba kumpendelea mtoto mmoja,wengine wanaathirika na kumchukia tu sio huyo baba bali na huyo mtoto anayependelewa...yaani sio vizuri kabisaaa
 
CCM tukajua kuwa huo mfumo hautakiwi kushika nchi utageuza kichaga kuwa lugha ya taifa Magufuli kwa hili Mungu akubariki Mungu kakutumia Kama kiboko Cha kutandika wachaga kwa uonezi walioufanya miaka nenda Rudi kwa wasio wachaga.
Rubbish!
 
Wachaga walipokuwa wanapendeleana maiofisini na tenda ilikuwa vizuri? Mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu.Magufuli usirudi nyuma kaza hapo hapo
 
Wewe ni mpuuzi kabids. Two wrongs do not add up to one right.
 
naona Rais wetu anajisahau,akija Rais mmakonde akataka na yeye kuendeleza umakondeni wakati labda Chato inahitaji kuendelezwa Zaidi kuliko huko umakondeni,je atafurahi kuona huyo Rais mpya akifanya hivyo???...au kuendeleza Chato..ni mkakati wa kudumu hata akimaliza muda wake kama Rais bado kutaendelezwa na marais wanaokuja??? vitu vingine tunasubiri muda useme...
 
Wachaga walipokuwa wanapendeleana maifisini na tenda ilikuwa vizuri? Mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu.Magufuli usirudi nyuma kaza hapo hapo

okay,Magufuli ataondoka,watakuja wamakonde waendeleze kwao..sijui utafurahi napo???...sijui mnalipwa shilingi ngapi kuandika utumbo humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…