Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Uwanja wa ndege kujengwa chato si tatizo. Tatizo ni kwamba uwanja huo kwa sasa ni economical viable na Je feasibility study ilionyesha huo mradi ni potential kujengwa. eneo hilo. Na tunaweza ingiza mapato kupitia uwanja huo. Mana kila mkoa inatakiwa uwe na uwanja. Tuachane na upendeleo tujadili uwanja kuwa pale ni muhimu kwa uchumi wa nchi pamoja na eneo husika.
 
okay,Magufuli ataondoka,watakuja wamakonde waendeleze kwao..sijui utafurahi napo???...sijui mnalipwa shilingi ngapi kuandika utumbo humu?
Sina shida nitafurahi Sana. Sasa hivi maendeleo yaende kwa ambao hawajaendelea ili kuleta usawa wa maendeleo katika nchi hata Kama bajeti yote itaenda huko sioni tatizo
 
Sina shida nitafurahi Sana. Sasa hivi maendeleo yaende kwa ambao hawajaendelea ili kuleta usawa wa maendeleo katika nchi hata Kama bajeti yote itaenda huko sioni tatizo

Hakuna mikoa ambayo inahitaji kuendelezwa kuliko huko kwa JPM???...mnhhh eti usawa??? mambo yote yanayofanyika Chato ni usawa?? you must be blind my friend...
 
Ondokeni Dar mkawekeze Kagera mbona hamtoki
Mbona siku hiz tunarudi Kwa kasi?
Huoni mkoa tumeutoa top ten Kwa umaskini sasa.

Na mapambano yanaendelea.
Karibu uwekeze kagera.

Na sasa utalii umefunguliwa.
Hifadhi tano mkoa mmoja!!
Ingawa moja mkuu anataka kuiiba ya burigi[emoji16][emoji16]
Screenshot_20190705-140752.jpeg
 
Hakuna mikoa ambayo inahitaji kuendelezwa kuliko huko kwa JPM???...mnhhh eti usawa??? mambo yote yanayofanyika Chato ni usawa?? you must be blind my friend...
Huoni mibarabara na train za mwendo kasi zinajengwa kwenda mkoa mmoja? Angalia Dar barabara za lami Sasa hivi mitaa iliyo nyuma kimaendeleo iliyobaguliwa Sasa hivi lami kibao.Mikoa ya kusini ilisahaulika sasa hivi kwenda kusini Sio issue.Magreda yanaunguruma nchi nzima kujenga miundo mbinu.Sio kila mwaka bajeti ya kujenga miundombinu na kupeleka umeme ,simu Kilimanjaro .Sasa hivi Simu kila mahali vijijini na umeme wa REA vijiji vyote Sio tu vya Kilimanjaro mlikokuwa mkijisifu kuwa umeme na simu viko Hadi vijijini
migombani kilimanjaroo kwa kutumia bajeti ya hazina ,Tanesco na TTCL kujipendelea unakuta Bibi ana Simu ya TTCl kijijini ambayo kazi Yake Ni kupokea simu tu Sio kupiga..Anatumia Simu bure hivyo kukosesha shirika mapato.Sasa hivi hata mtu wa vijiji vya tandahimba mtwara ana umeme na simu ngoma droo ukijidai na yeye anajidai
 
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.

Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.

Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.

Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.

Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!

Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.

Kaskazini kumeendelea kwasababu ya elimu ya makanisa na sio serikali. Kabla ya Msuya maendeleo yalikuwepo shule nyingi zilikuwepo. Ujamaa tu ndiyo ulipunguza maendeleo pale. Wakati huohuo angalia Lushoto palivyo karibu lakini maendeleo yalikuwa nyuma sana kwasababu ya wenyewe hawakuwa na wameshenari na shule za kushoto karibu zote zilikuwa za kidini sasa kam wewe ulikuwa mtoto wa shehe miaka hiyo utasoma wapi?
 
Huoni mibarabara na train za mwendo kasi zinajengwa kwenda mkoa mmoja? Angalia Dar barabara za lami Sasa hivi mitaa iliyo nyuma kimaendeleo iliyobaguliwa Sasa hivi lami kibao.Mikoa ya kusini ilisahaulika sasa hivi kwenda kusini Sio issue.Magreda yanaunguruma nchi nzima kujenga miundo mbinu.Sio kila mwaka bajeti ya kujenga miundombinu na kupeleka umeme ,simu Kilimanjaro .Sasa hivi Simu kila mahali vijijini na umeme wa REA vijiji vyote Sio tu vya Kilimanjaro mlikokuwa mkijisifu kuwa umeme na simu viko Hadi vijijini kilimanjaro kwa kutumia bajeti ya hazina ,Tanesco na TTCL kujipendelea unakuta Bibi ana Simu ya TTCl kijijini ambayo kazi Yake Ni kupokea simu tu Sio kupiga..Anatumia Simu bure hivyo kukosesha shirika mapato.

Mbuga ya Wanyama Chato,Referal hospital Chatto,uwanja wa ndege Chato,TRA Chatto,mambo kibao Chatto,haya niambie huo 'usawa' ambao ulikua unahitajika sana kwa nini uwe Chatto peke yake??? Mikoa mingine haihitaji kuendelezwa???
 
Hamna shida eneo Hilo litafunguka kiuchumi TAKWIMU zinaonyesha huo mkoa wa geita ambamo chato ipo Ni.mmoja wa mikoa inayoongoza kwa umaskini Tanzania.Hivyo ulivyotaja vichache serikali iweke vingi zaidi ili taarifa ya TAKWIMU ijayo huo.mkoa usiwemo kwenye mikoa maskini zaidi Tanzania.Mikoa maskini Sana iko Kama sita hivi serikali ihamishie bajeti zote za maendeleo huko isiogope ianze ba mkoa mmoja mmoja hiyo mikoa itaamka kiuchumi.Serikali wekeza Sana geita Hadi iamke na mikoa mingine maskini iwekeze sana Usawa SI bajeti tu Ni Usawa wa maendeleo
 
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.

Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.

Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.

Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.

Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!

Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Ulikuwa na umri gani WAKATI Elinawinga akipata uwaziri? Alitumia system gani kuwahamisha watoto kutuka Kilimanjaro KWENDA mikoa mingine? Nyerere na umakini wake wote alikubaliana Naye au ElinawingA alifanya kisirisiri? Na Kama ilikuwa Ni kisirisiri WEWE ulikuwa nani ukaweza kupata taarifa ambazo RAISI NYERERE alishidwa kuzipata?
 
Hamna shida eneo Hilo litafunguka kiuchumi TAKWIMU zinaonyesha huo mkoa wa geita ambamo chato ipo Ni.mmoja wa mikoa inayoongoza kwa umaskini Tanzania.Hivyo ulivyotaja vichache serikali iweke vingi zaidi ili taarifa ya TAKWIMU ijayo huo.mkoa usiwemo kwenye mikoa maskini zaidi Tanzania.Mikoa maskini Sana iko Kama sita hivi serikali ihamishie bajeti zote za maendeleo huko isiogope ianze ba mkoa mmoja mmoja hiyo mikoa itaamka kiuchumi.Serikali wekeza Sana geita Hadi iamke na mikoa mingine maskini iwekeze sana

wewe unajitoa ufahamu,kama serikali yako ingekua ina target kupunguza umaskini wa mikoa maskini,ingesambaza miradi yake evenly, kwenye mikoa yote masikini. Kila kitu kimepelekwa mkoa mmoja,afu unatetea eti inapunguza umaskini...pole sana , hata huoni athari ya yanayojiri kwenye nchi yako mwenyewe….
 
Hivi unafikiri wamisionari walikuwa wajinga? Waliona hao wachaga wana hari ya mafanikio na wanabebeka! Sehemu nyingine watu wanawaza ngono tu na ujuaji mwingi kama huyo muhutu.
Labda nikuweke sawa. Historia ya Wakoloni popote pale itizame: Wakoloni kujenga shule haikuwa tafsiri ya wakazi wa eneo wanaokoloniwa wanapenda elimu. Tukumbuke mkoloni alikuja na malengo yake na ukamilishaji wa malengo yake iulifuata mfumo wake moja wapo ni suala la elimu.

Kwa hiyo ujenzi wa shule kwenye baadhi ya maeneo lengo ni kuweka daraja ambalo mkoloni litamsaidia kukamilisha malengo yake. Na hayo yote yaliwezekana ikiwa hilo eneo lilikuwa ni lenye amani. Kwa ufupi halikuwa na upinzani kwa Wakoloni. Wachagga hawana history ya kupambana na wakoloni.
 
Kuhusu Elinewinga (RIP mdau) umekosea. Hujatafiti kutosheleza. Cha msingi ni kwamba WATU HUJITAFUTIA MAENDELEO WENYEWE na hawapelekewi. Mifumo thabit ikiwepo husaidia EFFORTS za kujiletea maendeleo. Wapo Watanzania kama WAFUGAJI wanaozurura na nchi nzima na watoto wao wasioenda shule kulisha MIFUGO yao ambao hata ufanyeje PORI ni sehemu ya ubongo wao. Wapo wengine ambao ni WAVIVU mno licha ya kuishi kwenye maeneo yenye rutba na maji. Maisha yao ya kileo na yale ya mababu zao wa kale hayana tofauti. Priorities zao sio za kimaendeleo kama baadhi ya jamii zingine za Tanzania.
Kwa mtazamo wako mwandishi nakushauri UKAE MBALI NA UJINGA.
Elinewinga kama alikuwa na upendeleo kwa kabila lake, iliwezeshwa na makabila tajwa kutokuwa na ari ya kusomesha watoto wao kukawa na pengo au uhaba wa wanafunzi. “Nature abhors vacuum” Elinewinga alikuwa anajaza hiyo vacuum. Waziri aliyekuwa na mkakati wa upendeleo endelevu wa elimu alikuwa Eliufoo. Akiwa waziri wa elimu alifuta darasa la nane kwa awamu na elimu ya msingi kuwa miaka saba. Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wa kwanza kufanya mtihani wa darasa la saba wakati wenzao wakiwa darasa la nane wao walikuwa kidato cha kwanza. Kwa hiuo waliwahi chuo kikuu, kuajiriwa, kupanda vyeo na kujenga mtandao katika nyanja na nafasi muhimu km elimu, fedha, mipango nk. Hawakupenda jeshi.
 
Mkuu hakuna mtu anae kataa usipendelee kwenu! Mfano kama huyu mjomba hiyo garama ya ujenzi wa kiwanja cha ndege kwanini asinge wekeza zaidi kwenye elimu ili watu wake waelimike zaidi? Huko Kilimanjaro kunaendelea kwa sababu wazee waliwa somesha watoto wao.
Siyo kweli kuwa Kilimanjaro Panaendelea kwa sababu ya usomi. Waliwekewa mazingira ya upendeleo mchana kweupe. Acheni tusogeze na oengine na mkumbuke hivyo ni vitu vya kawaida ili kuondoa umasikini maeneo hayo na pia kukuza uchumi wa Nchi
 
Wachaga unaowasemea wapo kwa mapambano ya maendeleo kufa kuuma
Waasisi wa ukabila na upendeleo ni wachaga,hata mtoto mdogo ajua hivo,awamu hii wamekosa hiyo nafasi ndo maana wanaongoza kulalamika,hata baba wa taifa aliwasema,
 
Mkuu hakuna mtu anae kataa usipendelee kwenu! Mfano kama huyu mjomba hiyo garama ya ujenzi wa kiwanja cha ndege kwanini asinge wekeza zaidi kwenye elimu ili watu wake waelimike zaidi? Huko Kilimanjaro kunaendelea kwa sababu wazee waliwa somesha watoto wao.
Round yke ikiisha huo uwanja utatoa majibu

Ova
 
wewe unajitoa ufahamu,kama serikali yako ingekua ina target kupunguza umaskini wa mikoa maskini,ingesambaza miradi yake evenly, kwenye mikoa yote masikini. Kila kitu kimepelekwa mkoa mmoja,afu unatetea eti inapunguza umaskini...pole sana , hata huoni athari ya yanayojiri kwenye nchi yako mwenyewe….
Sio kweli acha uongo sehemu kubwa ya bajeti ya maendeleo iko maeneo makubwa manne la kwanza ni mradi wa umeme wa stigler gorge ambao umeme wake utaingia grid ya ya taifa kuhakikisha umeme wa uhakika nchi nzima ,mradi mkubwa wa pili wa maendeleo unaokula bajeti kubwa Ni mradi wa train ya mwendo Kasi inayopita mikoa kibao yenye kuzalisha mazao ,mifugo ,na madini ,na mazao ya biashara na chakula ,wa tatu nii miradi miradi ya barabara kwenye maeneo yaliyosahaulika nchi nzima ,Cha nne Ni miradi ya maji maeneo yaliyosahaulika yenye uhaba wa maji salama Hiyo miradi ndio inakula bajeti kubwa Sana ya bajeti ya maendeleo.Wewe husomi bajeti ndio maana mweupe kichwani.Kasome bajeti kwanza usilete porojo za chadema.Kaangalie bajeti hasa ya maendeleo pesa nyingi zinaenda wapi chato au wapi.
 
Sifa kuu ya binadam wote ni ubinafsi! Hapo kwenye ubinafsi akili ndiyo inatakiwa itumike, hata hivi leo mfano wewe ni bosi na kuna chance ya kazi imetokea na mdogo wako sifa anazo je hutamsaidia!?? Kuna methali moja ya kale inasema,

“huwezi kumpenda jirani yako kama wewe mwenyewe hujipendi”

Ukweli mtu aliye kulia kwenye umaskini ana ubinafsi ulio jaa roho mbaya. Kama Kweli huyu jamaa nikuwasaidia watu wake kwanini asiwekeze kwenye elimu?
Kutakua na faida gani kama garama kubwa zinatumika kujenga miradi mizuri wakati watumiaji ni mambu mbumbu? Hiyo miradi si itakuwa malisho ya punda! Tanzania ni yetu sote.
Alichozungumzia jamaa Patriot ni sahihi, wewe unachojibu ndiyo unaharibu kabisa. Sisi wote ni Watanzania, na Tz inaundwa na makabila tofauti. Suala la ajira la kitaifa kwa vile mdogo wako ana sifa ndiyo umpachike? Ndiyo utaratibu huo? Hivi unafikiria kwa mapana kweli?

Wachagga mna ukabila na hili lipo wazi! Na huyu tuliyenaye ana hiyo tabia na hili lipo wazi. Muhimu ni kukubali kwamba tulikosea na tuing'oe hiyo mizizi.
 
Sio kweli acha uongo sehemu kubwa ya bajeti ya maendeleo iko maeneo makubwa matano la kwanza ni mradi wa umeme wa stigler gorge ambao umeme wake utaingia grid ya ya taifa kuhakikisha umeme wa uhakika nchi nzima ,mradi mkubwa wa pili wa maendeleo unaokula bajeti kubwa Ni mradi wa train ya mwendo Kasi inayopita mikoa kibao yenye kuzalisha mazao ,mifugo ,na madini ,na mazao ya biashara na chakula ,wa tatu nii miradi miradi ya barabara kwenye maeneo yaliyosahaulika nchi nzima ,Cha nne Ni miradi ya maji maeneo yaliyosahaulika yenye uhaba wa maji salama Hiyo miradi ndio inakula bajeti kubwa Sana ya bajeti ya maendeleo.Wewe husomi bajeti ndio maana mweupe kichwani.Kasome bajeti kwanza usilete porojo za chadema.Kaangalie bajeti hasa ya maendeleo pesa nyingi zinaenda wapi chato au wapi.

wewe ndio mpuuzi kweli,hio bajeti yako imesema 2.4 Trillions alizokwapua mkuu zimetoka kwa idhini ya nani na zimetumika kufanya nini???? ...….ilete hapa hio bajeti hapa ...ionyeshe hio miradi mikubwa inayoendelea Chato,.....

.naona unajaribu kuonyesha miradi ya serikali ya awamu ya tano...hii haiondoi ukweli kuwa kuna upendeleo Chato...pole we!
 
Kule chato Kuna soko la madini ya dhahabu jambazi wewe unataka wakinunua wasafirishe kwa magari ili uwapore njiani? wachaga majambazi ndio mlipinga uwanja wa ndege usijengwe na ndege zisinunuliwe ili mpore wenye dhahabu wa geita majambazi nyie.Sasa hivi unanunua dhahabu unachukua ndege Bomba dar au Nairobi Bomba ulaya hakunaa kutumia barabara
 
Back
Top Bottom