Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.

Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.

Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.

Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.

Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!

Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
YOU MIGHT HAVE A POINT TO REBUKE SUCH ACTIONS KAMA UKABILA, UKANDA KATIKA ULINGO WA UPENDELEO KWENYE JAMII YAKO AU ULIMWENGU KIUJUMLA, ILA BY POINTING FINGER ON SPECIFIC INDIVIDUALS WITH THEIR RESPECTIVE PLACES AND CAREER VIEWS WHILE YOU DON'T HAVE THE CREDIBLE FACTS TO PROVE WITH, THEN YOU MIGHT BE DECEIVING PEOPLE AND LYING/CONFUSE YOURSELF AT THE SAME TIME. BE CURIOUS WITH CAUTIOUSNESS.

PEACE & LOVE
 
Kaskazini kumeendelea kwasababu ya elimu ya makanisa na sio serikali. Kabla ya Msuya maendeleo yalikuwepo shule nyingi zilikuwepo. Ujamaa tu ndiyo ulipunguza maendeleo pale. Wakati huohuo angalia Lushoto palivyo karibu lakini maendeleo yalikuwa nyuma sana kwasababu ya wenyewe hawakuwa na wameshenari na shule za kushoto karibu zote zilikuwa za kidini sasa kam wewe ulikuwa mtoto wa shehe miaka hiyo utasoma wapi?
Uongo usitake nimpromoshee matusi ya nguoni msuya nimeenda gonja maore nilichokiona kule sitaki nimtukane matusi ya nguoni huyo Mzee Msuya afe salama .Akiwa waziri wa fedha na TTCL na mpare nwenzie akiwa kiongozi wa TTCL wakati huo Msofe madudu yao nikiyaandika hapa wataishia mahakama ya mafisadi shenzi type
 
Upupwu mtupu umeandika..
Kama vile upande huo wa nchi hii hawaishi watu.

Na bado

Magufuli oyeeeee
 
Mbona uchagani mmependelewa barabara lami Hadi Migombani wakati Kigoma na Katavi hakuna mtandao mkubwa was lami?

..hizo BARABARA zilijengwa na MKOLONI ili aweze kusomba KAHAWA kwa ufanisi mkubwa.

..mkoloni hakujenga hizo barabara kwasababu anawapenda sana wachagga.

..kuna maeneo Mkoloni alipenda kuandikisha ASKARI wake. wakoloni hawakufanya hivyo kwa maslahi ya janii husika, bali kwa maslahi yao ya kiutawala.
 
Ndugu pole sana, hakuna jambo atatenda mwanadamu asipingwe wala kukosolewa.
Hata wewe ukipewa madaraka utashangaa kila jambo unakosolewa au kupingwa au kulalamikiwa.Ni hulka ya kibinaadamu hiyo.
Dawa ni kupuuza tu, sasa na wewe tunakupuuza tu,huna jipya,ni wale wale tu.
 
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.

Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.

Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.

Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.

Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!

Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Safi sanaaaaa mkuu japo kuna vichwa vya kuku vitakupinga hapa,

Kuna hizi pipo kutoka mikoa flani tulikuwa tunawaskia na bado wanajitapa kuwa kwao kuna maendeleo sanaaa, umeme hadi shambani,,

Mkuu naye kaamua kujipendelea,,
 
Mkuu huo uwanja haukutengewa bajeti na Bunge. Kilichotengwa ni bilioni 2 tu kwa ajili ya feasibility study. Nduli akachota hazina zaidi ya bilioni 50 bila idhini ya Bunge kuhakikisha uwanja unajengwa na pia kupeleka wanyama huko ili kuvutia watalii hotel yake ipate wateja. Unadhani huyo nduli asingekuwepo Ikulu uwanja huo ungejengwa? Kwa kipaumbele gani kwa Watanzania Mkuu!?
Anapaka upepo rangi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Safi sanaaaaa mkuu japo kuna vichwa vya kuku vitakupinga hapa,

Kuna hizi pipo kutoka mikoa flani tulikuwa tunawaskia na bado wanajitapa kuwa kwao kuna maendeleo sanaaa, umeme hadi shambani,,

Mkuu naye kaamua kujipendelea,,

..angekuwa na nia ya kweli ya kusaidia angehakikisha sekta zinazogusa maisha ya walio wengi zinakuwa bomba kwelikweli.

..lakini huu ni mwaka wa 4 tangu aingie madarakani na hakuna nafuu yoyote ktk sekta ya pamba au ufugaji.

..haya anayoyafanya nina wasiwasi huenda ni sawa na kilichotokea na kinachoendelea Dodoma. Tangu mwaka 1971 serekali imetupa fedha nyingi sana Dodoma, lakini wenyeji wa huko maisha yao hayajaboreka.

..HE NEEDS TO INVEST ON THE PEOPLE, NOT ON THINGS.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwendawazimu Mkuu, he didn’t deserve to be in SH even for a single second. I don’t know why Mkapa na Kikwete had to pick this crazy person out of the whole group.

..angekuwa na nia ya kweli ya kusaidia angehakikisha sekta zinazogusa maisha ya walio wengi zinakuwa bomba kwelikweli.

..lakini huu ni mwaka wa 4 tangu aingie madarakani na hakuna nafuu yoyote ktk sekta ya pamba au ufugaji.

..haya anayoyafanya nina wasiwasi huenda ni sawa na kilichotokea na kinachoendelea Dodoma. Tangu mwaka 1971 serekali imetupa fedha nyingi sana Dodoma, lakini wenyeji wa huko maisha yao hayajaboreka.

..HE NEEDS TO INVEST ON THE PEOPLE, NOT ON THINGS.
 
Hayo ni mawazo yako lkn hayana maana,kama ulihadithiwa vile!!!
Pambana acha kuona wengine ndio wamekufesha.
 
Na wewe subiri uingie madarakani uwapendelee ndugu zako.....mbona wewe unampemdelea mkewako
 
Mtoa mada hizi takwimu zinakuumuza sana na hata uko palipoendelea kama dar, njombe etc ukihesabu utakuta kina Manka na Mangii. Lia tuu ila papendeni kwenuView attachment 1148070
Huu mkoa wa Njombe umeendelea Kwa jitihada za wananchi wenyewe kwasababu haujawahi kupata hata kiongozi mmoja mkubwa serilikalini toka tupate uhuru. Kwa kule serikali ingewekeza nguvu mkoa ungekuwa wa mfano wa kuigwa na mingine
 
Hahahahahah ni mapema mno kulaum minaona hizi lawama muda wake haujafika sababu bado anayo nafasi ya kuyafanya yote mnayopendekeza yangefanywa na sio uwanja iwapo hata ludi tena kule Whyte house hata mkilaumu mtakuwa sahihi kabisa naamini tutashuhudia mengi zaidi ya uwanja tuombeni Mungu atujalie afya
 
Mkuu hakuna mtu anae kataa usipendelee kwenu! Mfano kama huyu mjomba hiyo garama ya ujenzi wa kiwanja cha ndege kwanini asinge wekeza zaidi kwenye elimu ili watu wake waelimike zaidi? Huko Kilimanjaro kunaendelea kwa sababu wazee waliwa somesha watoto wao.
Uwanja wa ndege ni mkoa wa Geita
Mbona Arusha kuna uwanja wa ndege na Kilimanjaro kuna uwanja wa ndege mkubwa?
Mkoa wa geita ina mbuga ya wanyama mkoa wa Geita ina Wawekezaji wa dhahabu kuwa na uwanja wa ndege ni Nongwa?
Mkoa wa Kilimanjaro ina uwanja mkubwa kuliko viwanja vyote vya Ndege wakati haina chochote zaidi ya mlima Kilimanjaro lakini hamsemi?
 
Huu mkoa wa Njombe umeendelea Kwa jitihada za wananchi wenyewe kwasababu haujawahi kupata hata kiongozi mmoja mkubwa serilikalini toka tupate uhuru. Kwa kule serikali ingewekeza nguvu mkoa ungekuwa wa mfano wa kuigwa na mingine

Hivi mama Anna Makinda anatokea mkoa gani?
 
Back
Top Bottom