Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
Nishati safi ndio chanjo pekee.
Je tutuwezaje kupona ukame?
Nishati safi ndio chanjo pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanavuna bila kupanda.Nishati safi ndio chanjo pekee.
Wekezeni kwenye miti ya muda mfupi ya mkaa huku mkinusuru misitu na kuhakikisha every household ina mti, mashamba ya miti ya mkaa yawe maalumu kabisa, kwanza mtaokoa mazingira halafu kipato kitakua kikubwa, wakati huo mkihimiza nishati safi punguza bei ya umeme na bei ya gesi huku mkiwafundisha wananchi matumizi ya umeme na gesi huko majumbani kuepuka ajali za mara kwa mara
Gesi nyingine ilivumbuliwa ruvu,lakini mpaka leo kimyaGesi tunavuna kwetu huko "Ntwara" wapunguze bei ,kama bei ikiwa kubwa watu wataendelea tu kukata miti.
Bila shaka ni mzenga hii kuja mlandizi na huko kwala pia ndio mikaa mingi hutokea huko kuja dar.Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.
ahsante kwa ushauri mzuri bossUko so out of touch with reality kama bosi wako.
Low IQ!
high IQUko so out of touch with reality kama bosi wako.
Low IQ!
Uko so out of touch with reality kama bosi wako.
Low IQ!
Mbona wewe ndio unaonekana una matatizo ya akili!
Mkuu vipi huko minjingu si umeshapasafisha kwa kuchoma mkaa?Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Global warming wasababishaji wakubwa ni Industrial US na China, sisi ni wahanga tu..., ofcourse kukata miti si vizuri, ila madhara ya kidunia ya climate change yanatokana na nchi zenye viwanda kwa wingiMkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.