Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss sio kwamba nachonganisha, kinachofanyika hapo kwenye mkaa ni ukataji miti na Kuzalisha mkaa. Labda kungetungwa sheria wanaochoma mikaa wapande miti yao wenyewe waikuze ndio wachomee mkaa. Hapo lazima mkaa ungepanda bei tuWe dada japokuwa upo jukwaani kutetea masuala yako ya gesi ila acha basi kuwachonganisha wananchi na serikali yao
Atakuwa mtaalam uchwara!!!!....mwanza haina maji na iko ziwani. Tatizo LA hii nchi ni kukosa Sera so kila kiongozi akija anakuja na vipau mbele vyake.Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
edit heading iwe hiviBoss sio kwamba nachonganisha, kinachofanyika hapo kwenye mkaa ni ukataji miti na Kuzalisha mkaa. Labda kungetungwa sheria wanaochoma mikaa wapande miti yao wenyewe waikuze ndio wachomee mkaa. Hapo lazima mkaa ungepanda bei tu
Duh!!...hilo ndio janga haswa..Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.
Sawasawaedit heading iwe hivi
Tunalalamika mvua hazinyeshi , maji yanakatika huku Gesi imepanda bei
🤣🤣
Boss unazungumzia mistu ya mikoa gani.Nyie ndio wale mnaoingia kwenye mitego ya wanasiasa nchi inayoongoza Africa kuzalisha mkaaa ipo jangwani wanapeleka Germany huko misitu yote hii Tanzania unasingizia wakata mkaa ndo wanasababisha mvua isinyeshe watanzania wa sasa wana elimu sio kama wale wa mwaka 1918 .
huu ni uongo hizi picha za msumbiji huko nampula.....acha uchocheziMkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.
Tatizo ni viongozi misri walipata tabu sana kipindi cha nyuma kuhusu maji wakapeleka wataalam kusoma sasa hivi misri ndio nchi ya kwanza Africa kwenye modern technology za maji licha ya kuwa kwenye jangwa na maji yao ni ya chumvi na wameanzisha kabisa chuo bora cha masuala ya maji just imagine misri ipo jangwani haina shida ya maji sisi vyanzo vyote hivi tunasingizia wakata mkaa kina makamba washakula hela za wadhamini wanakwambia mkaa na kuni haufai wakati watu wametumia enzi na enzi huko.
Yaani mi na ww hatubishani tunaeleweshana kama serikali ikiruhusu watu binafsi kutoa huduma ya maji tofauti na DAWASA tatizo la maji linakuwa historia ndio maana nakwambia tatizo ni serikali hawajawahi kusimamia kitu kikaenda sawa waruhusu watu waunganishe maji kwenye kampuni binafsi tuone hiyo sababu ya ukame inatoka wapi chem chem zimejaa kibao nchini tunahangaika na mtu mruvu nonsense and selfish leader hawana visionBoss unazungumzia mistu ya mikoa gani.
Mawazo chanya Kama haya angepelekewa waziri mkuu ili utekelezaji uanze mwezi huu huu.Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Umeongea vizuri sana, tena kwa kuongezea hao wanaotaka V8 wanunue wenyewe ila serikali iwadhamini kwa kuwakata kwenye mishahara yao. Ikitokea kafukuzwa au kutumbuliwa basi pesa ya mafao yake inakatwa! Kwanza wakijua hivyo wataishia kukopa Kluger na Harrier..Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Umeongea vizuri, moja ya mambo muhimu ya kufanya kwenye suala la mkaa ni haya: kwanza kuwa na mfumo wa mkaa endelevu (sustainable charcoal) na bahati nzuri kuna wataalamu wazawa kwenye NGOs zetu wenyewe kama TFCG (Tanzania Forest Conservation Group) na Mtandao wa MJUMITA wamefanya pilots za kutosha kabisa kwenye vijiji vyetu kuonyesha hii kitu inafaa na ni moja ya muarobaini wa hili tatizo. Nilichogundua ni kwamba kuna baadhi wa watu wachache huko serikalini na kwa sababu zao binafsi, wanakwamisha sana kupanuka kwa hii tekonolojia.Wekezeni kwenye miti ya muda mfupi ya mkaa huku mkinusuru misitu na kuhakikisha every household ina mti, mashamba ya miti ya mkaa yawe maalumu kabisa, kwanza mtaokoa mazingira halafu kipato kitakua kikubwa, wakati huo mkihimiza nishati safi punguza bei ya umeme na bei ya gesi huku mkiwafundisha wananchi matumizi ya umeme na gesi huko majumbani kuepuka ajali za mara kwa mara
ILa kuna madhara ya kutumia ayo maji ya ardhini bila restriction.Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Hakuna anayependa kutumia mkaa ila maisha na ghalama za izo energy zingine inawalazimu watu.Mkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.
Wanakata Miti ila pia wana Kampeni yao Kubwa ya Kuipanda na Kuitunza kama Mboni ya Jicho ili nchi yoo isiwe Jangwa na ikakosa Mvua na Wanalizingatia sana je, kwa hapa Tanzania Kwetu Umakini kama huu na Nidhamu kama hii tunao / ipo?Ulitaka watu wapikie nini? Namibia ni muuzaji mkubwa wa Mkaa Ulaya sasa sijui mnasemaje.hapo