King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahaha hapana ,tunatekeleza sera ya kata mti panda mti mkuu.Mkuu vipi huko minjingu si umeshapasafisha kwa kuchoma mkaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hapana ,tunatekeleza sera ya kata mti panda mti mkuu.Mkuu vipi huko minjingu si umeshapasafisha kwa kuchoma mkaa?
Mkuu nakubaliana na hoja zako za chini ila ili kuwaita wataalamu uchwara hapana ,maji mengi yapo ardhini kuliko yaliyo kwenye surface.(Fresh water) ,kwahiyo wataalam wapo sahihi....Maji ya ardhini tumetumia only 2% tu.Atakuwa mtaalam uchwara!!!!....mwanza haina maji na iko ziwani.
ILa kuna madhara ya kutumia ayo maji ya ardhini bila restriction.
Bado tuna surface water za kutosha maziwa na habari na mito
Wewe usilinganishe nchi yetu na namibia, namibia idadi ya watu ni milioni mbili hawafiki hata milioni tatu, halafu hawajasambaa kotekote kwenye nchi yao kama sisi tulivyotapakaa kila konaUlitaka watu wapikie nini? Namibia ni muuzaji mkubwa wa Mkaa Ulaya sasa sijui mnasemaje.hapo
Hivyo visima utamwagilizia mashamba ya mpunga kyera?Jana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Hapa ndo namkumbuka na kumlilia Chuma angeshatoa haya maamuzi kimamlaka tena angesema maji ya visma yatolewe bureee kwa wanyongeJana nimemsikia mtaalamu wa maswala ya maji ITV ,amesema kwamba maji(stock) iliyopo tu ardhini ni ya kutosha na mpaka sasa tume utilize only 2 % tu.......Tuwekeze kwenye visima ,serikali iache kununua ma V8 unawapa sijui DED/RC na watu wanaofanana na hao ambao wana mishahara mikubwa na marupurupu kibao,mbona walimu tu wana magari yao binafsi na wanalipwa laki 5 ? Inakuwaje unamnunulia V8 mtu anayelipwa milioni 20 kwa mwezi wakati anaweza kuafford kujinunulia au anayo yake nyumbani? Hao viongozi wapewe tu allowance ya mafuta basi ila gari atumie la kwake ,hela ya kununua V8 tuchimbe visima kila kata/vitongoji kama alivyshauri Selemani Bishagazi -ITV Malumbano ya Hoja Jana.
Utaalam wa maneno matupu. Yawezekana hata kwake anategemea surface water(maji ya bomba)Mkuu nakubaliana na hoja zako za chini ila ili kuwaita wataalamu uchwara hapana ,maji mengi yapo ardhini kuliko yaliyo kwenye surface.(Fresh water) ,kwahiyo wataalam wapo sahihi....Maji ya ardhini tumetumia only 2% tu.
Umejibu swali la msingi? Ulitaka wapikie makanyagio yako?Wewe usilinganishe nchi yetu na namibia, namibia idadi ya watu ni milioni mbili hawafiki hata milioni tatu, halafu hawajasambaa kotekote kwenye nchi yao kama sisi tulivyotapakaa kila kona
Halafu washazoea ukame sio sisi
Sisi tukikosa mvua ni janga la kibinadamu, ni tatizo gumu kulitatua
Tanzania ni ya kwanza Duniani kuwa na eneo kubwa lililohifadhiwa sasa hapo nani alitakiwa kuwa kwenye advantage side?Wanakata Miti ila pia wana Kampeni yao Kubwa ya Kuipanda na Kuitunza kama Mboni ya Jicho ili nchi yoo isiwe Jangwa na ikakosa Mvua na Wanalizingatia sana je, kwa hapa Tanzania Kwetu Umakini kama huu na Nidhamu kama hii tunao / ipo?
r u serious witcha question?Hivyo visima utamwagilizia mashamba ya mpunga kyera?
Havihusiani na ukosefu wa mvua. You have been brainwashed for so longMkaa wote huu unaelekea Dar es Salaam.
Je tutuwezaje kupona ukame?
View attachment 2406712
Nishati safi ndio chanjo pekee.
TVA ni project ya kucopy na kupaste iko applicable maeneo mengi TzNazungumzia fresh water yaliyopo ardhini mkuu ambayo tayari washafanyia utafiti,serikali wanayo taasisi ya Water Institute-Chuo Cha Maji - Rwegarulila near UDSM wanafanya anaysis ya maji ya visima..
Lengo la maji ya ardhini ni kwamba tusiwe dependent kwenye single source tu ambapo mvua isiponyesha tunaathirika.
Halafu kipindi cha mvua hatuvuni maji iwe personally au kiserikali ,serikali inabidi ivune maji na ihifadhi kwenye dams/reservoirs ili tuje kutumia kipindi kukiwa na scarcity ,nakumbuka kwenye geography form iv tulisoma TVA -Tennessee valley authority project ,tukidesa kidogo mule tunaweza kupunguza kwa kihasi kikubwa au kuondoa kabisa tatizo la mgao wa maji kipindi cha ukame.