mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwema huko 😂😂😂Siku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
Kesho atakuja na mbambamba nyingine [emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwema huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajakosea kabisa mkuuUnadhan aliewaita utopolo alikosea????
Hawa jamaa wangepindua meza tungenyanyasika sana katika hii nchi. Just imagineKesho atakuja na mbambamba nyingine [emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yaani Mungu fundi sanaHawa jamaa wangepindua meza tungenyanyasika sana katika hii nchi. Just imagine
Vipi ushaanza maandamano?Mimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Basi sawa.. Madam wameombewa poh...[emoji23]Mkuu Mshana hebu wapumzishe kidogo
Mungu fundi sana,mumesajili usiku,mkatangaza usiku na mkavurugwa usiku.Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Kelele zenu zinawaponza sana lakini hamsikiiTunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.
Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.
Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Bando la Utopolo ulimitedSiku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
usiku ni muda wa kupelekewa motoSiku zote kwenye sherehe, watoto hucheza disco lao mchana! Halafu wakubwa hucheza usiku.
Umejuaje? 🤗usiku ni muda wa kupelekewa moto