mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
wakati mechi inaendelea niliwasikia wasudan wakiimba.
Mayele analiaaa.
Feisal analiaaa
Aucho analiaa
Nikajisemea moyoni kumbe kiswahili kimekua hivi na kuvuka boda
Mayele analiaaa.
Feisal analiaaa
Aucho analiaa
Nikajisemea moyoni kumbe kiswahili kimekua hivi na kuvuka boda