Tunamalizia bonanza la utangulizi tukisubiria mechi ya kiume na kibabe. Utake ndiyo hivyo, ukatae itabaki kuwa hivyo!

Mimi kama shabiki wa. Simba kindakindaki,kwa kweli natamani Sana kuangalia mechi ya yanga kuliko timu yangu ya simba ,kwa kweli Yanga ikiwa uwanjani kama naangalia vile psg inamvuto sana.wanasimba tuandamane tuichukue Yanga ndio iwe simba bila hivyo nahama
La sivyo tuandamaneneni kwa kweli au simba ifutwe tu ibaki yanga
Vipi ushaanza maandamano?
 
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.

Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.

Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Mungu fundi sana,mumesajili usiku,mkatangaza usiku na mkavurugwa usiku.
 
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman Sudan.

Hii timu ya Ihefu kutoka Angola hata ingekuwa imehaidiwa kupewa nchi yao peke yao hawawezi kutoboa mahala popote pale. Mpaka sasa sijaelewa wanacheza kutafuta kitu gani, maana wanacheza kama vile wao ndiyo wanaongoza. Ni miongoni mwa timu dhaifu kupita maelezo, sikushangaa Namungo kuwachapa goli 6.

Yote kwa yote, ngoja tusubili mechi ya wanaume na siyo huu uchafu.
Kelele zenu zinawaponza sana lakini hamsikii
 
Pyramid ,berkane ,future ,club faxien ,Al ahly tripoli ,cape town city wanatamani kukutana na yanga wajipigie katimu kadogo waingie makundi shirikisho
 
Back
Top Bottom