Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hawa hawana Cha kufanya zaidi ya kupokea maagizo tu ya hao wanaojiita viongozivyombo usalam vikibumburuka vita disturb equillibrium hali nchi itakuwa tete, wacha vikae kimya vicheki picha linaendaje watajua cha kufanya
Tupe neno la hekima mkuu..do we still stand a chance ?Ubatili mtupu Ubatili mtupu.
Huenda hata hiyo 2030 akaamua kuendelea kulisukuma Gurudumu mwenyewe, na hakuna kitu tutamfanya..Sahihi kabisa, ametushika masabauri na hakuna tunachoweza kumfanya, huenda kwa hali hii hata watanganyika hawapo kwenye ile meza ya kuamua nini kifanywe nini kiachwe, we are doomed!
Ikitokea wote tukafika 2030, ahakikishe anayeingia baada yake anamlimda na kulinda legacy(we all know her legacy) yake. Otherwise utakuwa wakati wa kulipiza visasi.
True story, sioni msaada unatokea pande ganiHuenda hata hiyo 2030 akaamua kuendelea kulisukuma Gurudumu mwenyewe, na hakuna kitu tutamfanya..
Katubana vilivyoKwa kweli ametushika ile yenyewe kabisa. Ila jambo moja la uhakika ni kwamba sio kwa nguvu zake, ana support kubwa sana ya watanganyika wenzetu wachache walioamua wao ndio watu na sisi wengine wote ni flimsy tu
Ila trust me, mwisho hautakuwa mzuri.Huenda hata hiyo 2030 akaamua kuendelea kulisukuma Gurudumu mwenyewe, na hakuna kitu tutamfanya..
Utabiri wa magu umetumia we will pay the priceVichogoless society, ni zaidi ya mjerumani au muingereza.
Mwisho wa nani?Ila trust me, mwisho hautakuwa mzuri.
Jana niliandika Uzi kama huu, huo ndio ukweli, hakuna mtu atamfanya kitu kila kitu amekiweka kiganjaniHuenda hata hiyo 2030 akaamua kuendelea kulisukuma Gurudumu mwenyewe, na hakuna kitu tutamfanya..
Ndio tumebakia hivyo kama walokoleIla trust me, mwisho hautakuwa mzuri.
Mwanamke siyo kiumbe wa kushindana naye hata kidogo. Anapotaka kutimiza malengo yake huwa tayari kwa lolote.“A cornered animal is the most dangerous.”
Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote vinaonekana kutomlegeza, bali kumfanya awe sugu na hatari zaidi.
Kwa sasa, Bi Kobe anaonekana kufika point of no return. Ameingia katika hali ya kuona kwamba ni ama maslahi yake yalindwe kwa gharama yoyote, au Watanganyika ndio walipe gharama. Kwa mwenendo wa mambo, ni vigumu kukataa kwamba ametushika pabaya.
Kuanzia vigogo na wapambe wa CCM hadi sisi makonki wapenda haki, sote tunajikuta tukicheza mdundo wake. Hakuna anayeonekana kuwa tayari au mwenye uwezo wa kumgusa. Amegeuka oil chafu: ukimgusa, unachafuka; ukimwacha, anaendelea kusambaa.
Kikosi chake maalumu cha makachinja “wasio na visogo”—(Dula Army) kinaonekana kuvishikilia mateka vyombo vyote vya dola. Hawacheki na kima wala kunguni; hawaogopi mkubwa wala mdogo. Kwa sasa, tunachoonekana kubaki nacho ni maneno, matumaini na ramli chonganishi.
Tunaweza kuongea, kujipa moyo na kutengeneza matumaini tunayoyataka, lakini ukweli mchungu unabaki pale pale: Bi Kobe ametushika pabaya.
Hata yule mstaafu wa Msoga, ambaye baadhi ya watu bado wanaamini ana ushawishi mkubwa juu yake, kwa sasa haonekani kuwa lolote wala chochote mbele ya Bi Kobe. Akijaribu kuleta ujuaji, hawa “wasio na visogo” wanaweza kuruka nae wakati wowote.
Historia inaonyesha kwamba hakuna utawala wa hofu unaodumu milele. Lakini katika kipindi hiki, huenda ikahitajika zaidi ya maneno kutuokoa kutoka katika mkono wa chuma wa jamii ya wasio na visogo.
Ongea uone namna utashughulikiwa!!Ndio tumebakia hivyo kama walokole
Utawala wake!!Mwisho wa nani?
Wa kwake au wa Kwetu?
Mimi namshauri aendelee asiishie 2030Ongea uone namna utashughulikiwa!!